ameeeen mzeeTena watu kama wewe, huwa ndoa zenu zinadumu kweli maana umejifunza mengi humu JF.
kama sisi tulivoamua kuweka juhudi atiii!Huyu anategemea akute ndoa nzuri mahali...yaani yeye aitumie tu!
Ndoa nzuri (bora) ni matunda ya juhudi za wawili!
kama sisi tulivoamua kuweka juhudi atiii!
teh watu wanazoana tu usiku maengagment ring yenyewe club wapo tilatila......ndoa ni zaidi ya urafiki ,best friends ever! kama sisi babe...yaani sijui tutoe muvi?Definite babe....hakika!
Wanavyoona tunatabasamu hawajui ni matokeo ya kukubali kutofautiana...
BTW: Njoo pm nikuagizie kitu....ada ya shule ya Aneth...
hivi lile jukwaa lipo?Ulimwengu wa wenzetu umejaa mashetani makubwa
Wao wanaoana mpaka kwa mkataba wa miaka kadhaa (mfano miaka mitano)
Miaka mitano ikiisha let say mkawa na watoto wawili halafu mkata unaisha na hakuna ku renew hao watoto wataleleka vp?
Yaanii wamejawa mashetani kabisa
Huyo mwanamke lazima ana mapepo makubwa anatakiwa apelekwe kwa TB Joshua akaombewe........................
Muvi ya nini sweety...teh watu wanazoana tu usiku maengagment ring yenyewe club wapo tilatila......ndoa ni zaidi ya urafiki ,best friends ever! kama sisi babe...yaani sijui tutoe muvi?
mimi silipativipi tuhamie kule?
tuwaonyeshe mfano wa ndoa yetumuvi ya nini sweety...
Kila anaetaka ndoa aishi kwa ndoa yake....na afanye bidii!
tuwaonyeshe mfano wa ndoa yetu