Huyo anaonyesha kaukosa mkuyati wa kihalali, na ole wake mwanamke aukose mkuyati wa kihalali...lazima ataishia kuwa mwehu.
kwanza mamaangu alishaniambiaga ukiachika tu, na ulaaniwe! so najikuta nipo tu hapo full kuvumilia! hata iweje, utoke uende wapi? lol! oleweni jamani na muoe! muione ngondo! ndoa raha mtu asiwatishe, ni vile uchezavyo tu!
Huyo si ajabu hata anampigia simu David Beckham kumtongoza.Ah ah ah.. Ina maana kweli kimoyo moyo hamuonei wivu Victoria... Ya mkosaji hayo.
Eti hakuna ndoa ya mfano... Kwani lazima mtu uwe na mfano ndo uamue... Kwa nini yeye asiwe mfano ...hajiamini eeh
Huyo anaonyesha kaukosa mkuyati wa kihalali, na ole wake mwanamke aukose mkuyati wa kihalali...lazima ataishia kuwa mwehu.
Huyo unadhani hata anaweza ku ubeba mzega zega, nashaka sana atatimuliwa tu na mme wake baada ya week tu, mana anatakiwa kwanza afanye diet...naona hata diet imemshinda atauweza msumeno :biggrin1:kama anasema hajawahi kuona ndoa ya mfano, basi ye ndo angeanza kuwa mfano bora ili vizazi vijavyo vije kuona mfano kwake!
Ndo walivyo hao wakikosa wanaume wakuwaoa wanakuwa visarani sana...Afu wengi wao lazima waje na hadith nyingi za uwongo.Kama mnapiga nae kazi ofisi moja anakuwa na kisirani kama nini
kama anasema hajawahi kuona ndoa ya mfano, basi ye ndo angeanza kuwa mfano bora ili vizazi vijavyo vije kuona mfano kwake!
Huyu anategemea akute ndoa nzuri mahali...yaani yeye aitumie tu!
Ndoa nzuri (bora) ni matunda ya juhudi za wawili!