Sioni kiungo kama Bruno Fernandez kwa sasa Duniani

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Jamaa anajua anafunga anapiga assist, anaanzisha mashambulizi, anapiga faulo za hatari kwa sasa sioni kiungo kama yeye Duniani ana vitu vya ziada. Nakumbuka Luis Figo jamaa anapita mulemule kaifanya Manchester kuwa timu ya tofauti kabisa.
 
Jamaa anajua anafunga anapiga assist, anaanzisha mashambulizi, anapiga faulo za hatari kwa sasa sioni kiungo kama yeye Duniani ana vitu vya ziada nakumbuka Luis Figo jamaa anapita mulemule kaifanya Manchester kuwa timu ya tofauti kabisa.
KDB
 
Jamaa anajua anafunga anapiga assist, anaanzisha mashambulizi, anapiga faulo za hatari kwa sasa sioni kiungo kama yeye Duniani ana vitu vya ziada nakumbuka Luis Figo jamaa anapita mulemule kaifanya Manchester kuwa timu ya tofauti kabisa.
Duh! mashabiki wa Man U wengi mpo CCM mnajua kusifia balaa bruno hafiki ata kwa Joao moutinho
 
Tuwe wa kweli tu pale Arsenal kuna mchezaji yeyote zaidi ya Aubameyang anayeweza kuingia first eleven ya Man united ?
Hakuna mkuu, ila tukikutana tunajipigia [emoji3]
 
Man u ilikuwa inataka kugeuzwa shamba la bibi,wengine wakasema man u itakuwa kama ac Milan kurudi kwenye game labda ipite miaka 50 ,lakini toka huyu jamaa aingie upepo umegeuka vipigo vikasahaulika kabisa licha ya kuwa aliikuta timu kwenye hali mbaya.

Bruno Fernandez kiukweli amesitiri wachezaji kibao sana pale man u . now makosa yao huwezi yaona kama unataka kuamini rudi nyuma wakati ighalo anasajiliwa utaelewa nini namaanisha,unakuta forward kati ya mechi 3 short on target 2
Pia bruno toka atuwe man u, nidham imerudi kati ya wachezaji, hakuna kujimwambafai tena ,mfano ishu ya pogba now attention yote ipo kwa huyu jamaa

Mimi sii shabiki wa man u lakini huwa napenda sana kuangalia ufundi wa huyu jamaa alivyojaliwa ,namna anavyowapa shida wachezaji wa timu pinzani,

Now hata kocha analala usingizi akiwa na uhakika wa kishindi mechi ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…