Man u ilikuwa inataka kugeuzwa shamba la bibi,wengine wakasema man u itakuwa kama ac Milan kurudi kwenye game labda ipite miaka 50 ,lakini toka huyu jamaa aingie upepo umegeuka vipigo vikasahaulika kabisa licha ya kuwa aliikuta timu kwenye hali mbaya.
Bruno Fernandez kiukweli amesitiri wachezaji kibao sana pale man u . now makosa yao huwezi yaona kama unataka kuamini rudi nyuma wakati ighalo anasajiliwa utaelewa nini namaanisha,unakuta forward kati ya mechi 3 short on target 2
Pia bruno toka atuwe man u, nidham imerudi kati ya wachezaji, hakuna kujimwambafai tena ,mfano ishu ya pogba now attention yote ipo kwa huyu jamaa
Mimi sii shabiki wa man u lakini huwa napenda sana kuangalia ufundi wa huyu jamaa alivyojaliwa ,namna anavyowapa shida wachezaji wa timu pinzani,
Now hata kocha analala usingizi akiwa na uhakika wa kishindi mechi ijayo