Sioni maendeleo ya Yanga tena chini ya Eng Hersi Said

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiliko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza

2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini

3. Mauzo ya jezi yameporomoka

4.wachezaji wengi wanaidai club

5. Mawazo yake sasa yapo kwenye kugombea ubunge aje kuwa naibu waziri wa michezo

6. Ujenzi wa Uwanja hamna hata jiwe la msingi
 
1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiriko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza

2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini

3. Mauzo ya jezi yameporomoka

4.wachezaji wengi wanaidai club

5. Mawazo yake sasa yapo kwenye kugombea ubunge aje kuwa naibu waziri wa michezo

6. Ujenzi wa Uwanja hamna hata jiwe la msingi

Katika hiyo miaka mitatu hukuweka Yanga kucheza group stage mara tatu mfululizo na ndani ya hiyo group stage wamecheza fainali moja na robo fainali moja katika michuano ya CAF.

kuhusu mabadiliko ya katiba sio kweli katiba imeshakamilika muda mrefu kitu ambacho bado ni utekelezaji wa hayo mabadiliko yaliyopo katika hiyo katika ikiwemo kubadilisha Yanga kuwa kampuni na maswala ya uwekezaji. Hilo kama wanachama kulikuwa na fursa ya kuhoji katika mkutano mkuu juu ya mipango ya timu na mikakati ya timu je ulihoji mkutanoni?

3. Mauzo ya jezi yameporomoka kutokea kwenye kiasi gani hadi kuwa kiasi gani? Tupe data

4. Tutajie wachezaji wanaodai club

5.) Hayo mawazo yake ya kugombea ubunge yanaiathiri vipi mwenendo wa Yanga katika kutetea mataji yake?
 
dawa ni moja tu,na wewe anzisha yako tuone maendeleo ili tumzodoe injinia vizuri
 
»Alituahidi atajenga uwanja lakini mpaka leo hakuna hata dalili ya kiwanja basi angenunua hata nyavu tuone ana nia.

»kashindwa kutupeleka robo kama role model wa soka la afrika mashariki SIMBA mpaka mtaani wanatutania mwakamakundi.

»kama vp eng msomali al shabab boko haram hersi atuachie timu yetu.
 
Kabla yake mlishaenda robo mara ngapi?
 
Engineer alituahidi atatujengea uwanja miezi sita ya baada kuchaguliwa kwake, kisha akatuahidi ubingwa wa CAFCL mwaka wake wa kwanza lakini mpaka muda huu hakuna lolote.
Bora turudishe timu kwa mzee wetu Magoma atupeleke nchi ya ahadi🤣🤣
 
Hiyo namba 6 hiyo huwa inafikirisha sana pale unaziangalia timu changa kama KMC zikimiliki viwanja vyao! Halafu Simba na Yanga kila siku viongozi wao wanapiga porojo tu.
Mkuu nadhani suala la uwanja lilishatolewa ufafanuzi siku nyingi na uongozi,,waliochelewesha ilo sio viongozi ni serikali yenyewe kupitia mradi wao wa bonde la mto msimbazi,,Tunakumbuka waziri mchengerwa alisema watawaongeza eneo baada ya wataalam wao kukamilisha upembuzi yakinifu na mambo mengine ya kitaalamu kwaiyo waliwaambia yanga wasubili wao wakikamilisha watawapa go ahead ya kuendelea na mradi wao pale jangwani!
 
Engineer alituahidi atatujengea uwanja miezi sita ya baada kuchaguliwa kwake, kisha akatuahidi ubingwa wa CAFCL mwaka wake wa kwanza lakini mpaka muda huu hakuna lolote.
Bora turudishe timu kwa mzee wetu Magoma atupeleke nchi ya ahadi🤣🤣
Wewe ni miongoni mwao wale aliowasema Rage akuna unachokijua!
 
»Alituahidi atajenga uwanja lakini mpaka leo hakuna hata dalili ya kiwanja basi angenunua hata nyavu tuone ana nia.

»kashindwa kutupeleka robo kama role model wa soka la afrika mashariki SIMBA mpaka mtaani wanatutania mwakamakundi.

»kama vp eng msomali al shabab boko haram hersi atuachie timu yetu.
Na mwakarobo aliyechoma moto uwanja na kushindwa kuvuka ata kwenye looser cup awekwe kundi Gani?
 
Katika hiyo miaka mitatu hukuweka Yanga kucheza group stage mara tatu mfululizo na ndani ya hiyo group stage wamecheza fainali moja na robo fainali moja katika michuano ya CAF.

kuhusu mabadiliko ya katiba sio kweli katiba imeshakamilika muda mrefu kitu ambacho bado ni utekelezaji wa hayo mabadiliko yaliyopo katika hiyo katika ikiwemo kubadilisha Yanga kuwa kampuni na maswala ya uwekezaji. Hilo kama wanachama kulikuwa na fursa ya kuhoji katika mkutano mkuu juu ya mipango ya timu na mikakati ya timu je ulihoji mkutanoni?

3. Mauzo ya jezi yameporomoka kutokea kwenye kiasi gani hadi kuwa kiasi gani? Tupe data

4. Tutajie wachezaji wanaodai club

5.) Hayo mawazo yake ya kugombea ubunge yanaiathiri vipi mwenendo wa Yanga katika kutetea mataji yake?
weka vithibitisho acha kulopoka mbumbumbu wahed
 
1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiliko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza

2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini

3. Mauzo ya jezi yameporomoka

4.wachezaji wengi wanaidai club

5. Mawazo yake sasa yapo kwenye kugombea ubunge aje kuwa naibu waziri wa michezo

6. Ujenzi wa Uwanja hamna hata jiwe la msingi
Weka picha inayoonyesha Injinia ameshindwa kuleta maendeleo yanga
 
Katika hiyo miaka mitatu hukuweka Yanga kucheza group stage mara tatu mfululizo na ndani ya hiyo group stage wamecheza fainali moja na robo fainali moja katika michuano ya CAF.

kuhusu mabadiliko ya katiba sio kweli katiba imeshakamilika muda mrefu kitu ambacho bado ni utekelezaji wa hayo mabadiliko yaliyopo katika hiyo katika ikiwemo kubadilisha Yanga kuwa kampuni na maswala ya uwekezaji. Hilo kama wanachama kulikuwa na fursa ya kuhoji katika mkutano mkuu juu ya mipango ya timu na mikakati ya timu je ulihoji mkutanoni?

3. Mauzo ya jezi yameporomoka kutokea kwenye kiasi gani hadi kuwa kiasi gani? Tupe data

4. Tutajie wachezaji wanaodai club

5.) Hayo mawazo yake ya kugombea ubunge yanaiathiri vipi mwenendo wa Yanga katika kutetea mataji yake?
Usiangaike sana kumjibu mtu mwenye moto mweusi asijua ktk maisha Kuna kupanda na kushuka,pia kutereza siyo kuanguka.
 
Back
Top Bottom