1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiriko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza
2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini
3. Mauzo ya jezi yameporomoka
4.wachezaji wengi wanaidai club
5. Mawazo yake sasa yapo kwenye kugombea ubunge aje kuwa naibu waziri wa michezo
6. Ujenzi wa Uwanja hamna hata jiwe la msingi
Msamehe tu Maana kaongea bila kujua kwamba Yanga ni mali injinia.dawa ni moja tu,na wewe anzisha yako tuone maendeleo ili tumzodoe injinia vizuri
Kabla yake mlishaenda robo mara ngapi?»Alituahidi atajenga uwanja lakini mpaka leo hakuna hata dalili ya kiwanja basi angenunua hata nyavu tuone ana nia.
»kashindwa kutupeleka robo kama role model wa soka la afrika mashariki SIMBA mpaka mtaani wanatutania mwakamakundi.
»kama vp eng msomali al shabab boko haram hersi atuachie timu yetu.
Mkuu nadhani suala la uwanja lilishatolewa ufafanuzi siku nyingi na uongozi,,waliochelewesha ilo sio viongozi ni serikali yenyewe kupitia mradi wao wa bonde la mto msimbazi,,Tunakumbuka waziri mchengerwa alisema watawaongeza eneo baada ya wataalam wao kukamilisha upembuzi yakinifu na mambo mengine ya kitaalamu kwaiyo waliwaambia yanga wasubili wao wakikamilisha watawapa go ahead ya kuendelea na mradi wao pale jangwani!
Wewe ni miongoni mwao wale aliowasema Rage akuna unachokijua!Engineer alituahidi atatujengea uwanja miezi sita ya baada kuchaguliwa kwake, kisha akatuahidi ubingwa wa CAFCL mwaka wake wa kwanza lakini mpaka muda huu hakuna lolote.
Bora turudishe timu kwa mzee wetu Magoma atupeleke nchi ya ahadi🤣🤣
Na mwakarobo aliyechoma moto uwanja na kushindwa kuvuka ata kwenye looser cup awekwe kundi Gani?»Alituahidi atajenga uwanja lakini mpaka leo hakuna hata dalili ya kiwanja basi angenunua hata nyavu tuone ana nia.
»kashindwa kutupeleka robo kama role model wa soka la afrika mashariki SIMBA mpaka mtaani wanatutania mwakamakundi.
»kama vp eng msomali al shabab boko haram hersi atuachie timu yetu.
weka vithibitisho acha kulopoka mbumbumbu wahedKatika hiyo miaka mitatu hukuweka Yanga kucheza group stage mara tatu mfululizo na ndani ya hiyo group stage wamecheza fainali moja na robo fainali moja katika michuano ya CAF.
kuhusu mabadiliko ya katiba sio kweli katiba imeshakamilika muda mrefu kitu ambacho bado ni utekelezaji wa hayo mabadiliko yaliyopo katika hiyo katika ikiwemo kubadilisha Yanga kuwa kampuni na maswala ya uwekezaji. Hilo kama wanachama kulikuwa na fursa ya kuhoji katika mkutano mkuu juu ya mipango ya timu na mikakati ya timu je ulihoji mkutanoni?
3. Mauzo ya jezi yameporomoka kutokea kwenye kiasi gani hadi kuwa kiasi gani? Tupe data
4. Tutajie wachezaji wanaodai club
5.) Hayo mawazo yake ya kugombea ubunge yanaiathiri vipi mwenendo wa Yanga katika kutetea mataji yake?
Weka picha inayoonyesha Injinia ameshindwa kuleta maendeleo yanga1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiliko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza
2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini
3. Mauzo ya jezi yameporomoka
4.wachezaji wengi wanaidai club
5. Mawazo yake sasa yapo kwenye kugombea ubunge aje kuwa naibu waziri wa michezo
6. Ujenzi wa Uwanja hamna hata jiwe la msingi
Usiangaike sana kumjibu mtu mwenye moto mweusi asijua ktk maisha Kuna kupanda na kushuka,pia kutereza siyo kuanguka.Katika hiyo miaka mitatu hukuweka Yanga kucheza group stage mara tatu mfululizo na ndani ya hiyo group stage wamecheza fainali moja na robo fainali moja katika michuano ya CAF.