Sioni mantiki yoyote mwanamke asiekuwa mwenzi wako wa ubani eti utumie zaidi ya tsh 10,000 kupata penzi lake

Sioni mantiki yoyote mwanamke asiekuwa mwenzi wako wa ubani eti utumie zaidi ya tsh 10,000 kupata penzi lake

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
637
Reaction score
1,532
Yani mnapangiwa bei utafikiri anakuja yuko sealed wakati anakuja huku amekuwa fabricated siku nzima na anakutungia hisia kuwa umemuweza alafu baada ya wazungu kushangilia, unavaa zako suruali huku umepanda dala dala unajiuliza na kujilaumu was it worth it kutumia 50,000?

Economic value ya kitu kinachotumika non stop, kukutungia hisia, hauna direct affection nacho, isizidi 10.

Its all about mindset guys, its all about mindset, haya mengine ni kujilisha upepo
 
Uzinzi na uasherati na umalaya ni DHAMBI UKIFA kabla hukatubu hiyo dhambi unaenda motoni
ushauri wangu kila siku kabla ya kulala sema Mungu naomba nisamee dhambi zangu zoote nilizozifanya siku ya leo,
 
Uzinzi na uasherati na umalaya ni DHAMBI UKIFA kabla hukatubu hiyo dhambi unaenda motoni
ushauri wangu kila siku kabla ya kulala sema Mungu naomba nisamee dhambi zangu zoote nilizozifanya siku ya leo,
You can not be dead and safe at the same time
 
Kuna k unakutana nazo na huwazii hyo elfu 50,jitahid kutafuta vitu quality mkuu
 
Simple kama gharama huziwezi kanunue kipande cha jamaa 500 jifungie bafuni jitosheleze! Starehe gharama ! Huyo ambae huwezi kutumia elfu kumi kwake , kuna gharama amezitumia mpaka ukavutiwa nae., kuanzia kichwani, mavazi , ngoz n.k ! Au kanunue hapo kimboka wale wa elfu mbili mbli ukabebe yutiai sugu[U.T.I]
 
Hakuna cha quality kaka.
Quality kitu imeshazamishwa mara nne ndio hadi amekutana na wewe
Basi kabla hajazama pisi unaweza ikuta ipo laki mbili, jifunze kutafuta pisi, hata milioni unatoa huku umepiga magoti.
 
Kuna piskali hata kusema una elfu kumi unaona aibu unakuta imenyooka hatari.
 
Back
Top Bottom