Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
Ina TV ndani?TAFUTA PESA, sio kulia lia hapa kama yatima😏 hata gari mnazoagiza huja used bt mnazilipia import duty kubwa na bado mnazitunza
Tafuta pesaaa, pyeeee
You can not be dead and safe at the same timeUzinzi na uasherati na umalaya ni DHAMBI UKIFA kabla hukatubu hiyo dhambi unaenda motoni
ushauri wangu kila siku kabla ya kulala sema Mungu naomba nisamee dhambi zangu zoote nilizozifanya siku ya leo,
Hakuna cha quality kaka.Kuna k unakutana nazo na huwazii hyo elfu 50,jitahid kutafuta vitu quality mkuu
hYo siyo tissue kwamba itatumika mara mojaHakuna cha quality kaka.
Quality kitu imeshazamishwa mara nne ndio hadi amekutana na wewe
Basi kabla hajazama pisi unaweza ikuta ipo laki mbili, jifunze kutafuta pisi, hata milioni unatoa huku umepiga magoti.Hakuna cha quality kaka.
Quality kitu imeshazamishwa mara nne ndio hadi amekutana na wewe