Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa upande mmoja una points, Labda nikijibu hivi.Wewe na hao polisi wote hamna logical reason kwenye hili, mmekurupuka.
Naomba nijibu hoja zako kama ifuatavyo;
1. Suala kama ni issue viwango vinavyokubalika na TBS, kwa nn polisi ndo wazungunzie technicalities za taasisi nyingine, nilidhani mwenye kusema 3D Number plate hazina viwango ni TBS na si Polisi. Lkn hata kama kuna viwango vinatakiwa basi TBS wangeshauri aidha kupunguza au kuongeza textures, reflects na any material or makeup standards (ISO Compliance)kwenye utengenezaji wa hizo number plate. Dunia inabadilika, polisi wakumbuke innovations ndio unakimbiza dunia kwa sasa.
2. Kuvumba kwa number plate za kawaida ni tofauti na hizi za 3D hata hvyo kimwonekano bado 3D zinaonekana zaidi kwa maana ya visualisation!
3. Maeneo unayozunguzia ni yale ambayo ni automated na machine au device ambazo naamini zimetengenezwa sio ku suite number plate katika namna pana zaidi. Mimi nimefunga hiyo 3D lkn kwenye ile camera ya kukamata madeni nilishawahi kamatwa kwa maana kwamba ioe camera ilinasa kwamba kuna deni sija clear, Daraja la Kigamboni pia napita daily na nalipa kwa mwezi so pale nikifika Camera ina captur3 namba na kuni-realise.
4. Ni sawa wanaotengeneza ni watu wa kawaida lkn wanatumia mitambo na machine nyingine ambazo hata kama ni polisi, TBS au taasisi yyt mfano Masasi Sign writters wangetumia.
Conl:
Mimi nafikiri polisi wafanye kazi kisasa wawe na logical kwenye makatazo ambayo wanayatoa, kwa jambo kama hili nadhani wangeonesha hata ku-promote innovation kama hzo,lkn pia kama wanadhani ni so lavishly basi wa-introduce hata kodi ya sh 5K kwa mtu anayetaka aweke 3D number plate angalau tungeona wamefocus kuongeza mapato kwa serikali!
Mngetaka ushauri mgeuliza kbl ya kuamua hizi pumba!Tatizo lako una lalamika lalamika sana ,nakushauri jifunze kutoa ushauri