Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

Acha kuokoteza wachawi,kuza soka la timu yako. Tunazungumzia kiwango cha wachezaji wako wanarukaruka tu. Mbona Simba inafanyiwa mazengwe ya kunyimwa magoli lakini inatandaza kandanda murua
Kanusha kwanza la Hans Pope kama sio kweli
 
Kweli kabisa ila mwisho wa siku tunaangalia msimamo wa ligi unaonyeshaje
 
Mkuu huku 'kwetu' hawa Yanga tunawahesabia mechi kadhaa tu, wanakata pumzi.

Na hapo ndipo litakapokua anguko lao kuu kwa wachezaji kutolipwa mishahara, mashabiki kushinikiza uchaguzi, viongozi kung'ang'ania madaraka n.k
Mikia bwana, mkilala mnawaota Yanga tu?
 
Sasa watapataje namba wakati wao wamesajiliwa na yanga
 
Mashabiki wa simba kelele zao ingekuwa ndio mpira uwanjani karibu kila mechi wangekuwa wanashinda. 1. Timu ya bilioni kadhaa mlilala ulimi nje na hiyo timu unasema wachovu. 2. simba inafungika kirahisi,mkiendelee kupiga kelele wataitwa mbao waje fasta. Yanga hesabu zao zinafanya kazi kama wanavyotaka. Ni hivi tafuta droo tu mechi ya simba na azam,halafu wadogo zenu sijui lipuri ni kuchukua pointi 3 tu. Ndio maana mechi ya simba na Yanga wasiojua wakapiga kelele simba ilipiga mpira mwingi,lakini kwa taarifa Yanga ndio waliofanikiwa. Kssb simba walitaka kushinda =wakashindwa vibaya malengo yao. Yanga walitaka droo tu ili kuepusha mashabiki wa simba kuvunja viti wakifungwa,na walifanikiwa malengo yao,droo ikapatikana
 
Usemayo ni kweli kabi
Usemayo ni kweli kabisa na ndiyo maana yanga hadi sasa haijafungwa hata mechi moja.
 
Sasa timu ya taifa shabalala hate benchi Hana nafasi, gadiel Michael anaanza
Unatumia Nini kufikiri?
Mwanzo wa msimu ni hakika Gadiel angeweza kuanza mbele ya Mohammed Hussein,ila kwa kiwango chake cha sasa Gadiel atakaa sana benchi. Na usishangae anaitwa tena Taifa Stars na kuipoka nafasi ya Gadiel.
 
Mwanzo wa msimu ni hakika Gadiel angeweza kuanza mbele ya Mohammed Hussein,ila kwa kiwango chake cha sasa Gadiel atakaa sana benchi. Na usishangae anaitwa tena Taifa Stars na kuipoka nafasi ya Gadiel.
Tshabalala ni habari nyingine.Beki zenye uwezo wa kupandisha mpira mbele kwa uhakika ni 3 tu hapa Bongo. Kapombe, Zimbwe na Kwasi. Niliwahi kuwataka Simba wampime huyu dogo kama anatumia madawa ya kuongeza nguvu. Siku hiyo akiwa nyuma alipiga mpira mbele akaufukuzia chini. Ule mpira ulivyotua akawa wa kuu-control.
 
Mkuu umetoa mada alafu unalazisha watu wajibu kilichopo kichwani kwako?
Kweli Rage hakukosea kuwapa lile jina
Sio kutaka ujibu ya kichwani mwangu,jibu kuhusiana na mada. Kuwaendekeza watu kama wewe mtaanza kuuliza mbona Chama hana mke mzuri kama wa Ajibu
 

Ndiyoooooo.....tehtehtehtehtehte
 


Yanga ni jina tu....si timu kivile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…