jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Historia yako umeisomea wikipediaAcha ujinga wewe! Hivi viwanja vilijengwa na Serikali kutokana na kodi kutoka kwa Watanzania wote.
Baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, hivi viwanja pamoja vya michezo, vile vya wazi na majengo yote vilitakiwa kuwa chini ya Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji!
Ila kwa bahati mbaya kwa sababu ccm ni chama cha majambazi, mliviiba kinyemela.