Sioni sababu viwanja vyetu kuendelea kumilikiwa na CCM

Sioni sababu viwanja vyetu kuendelea kumilikiwa na CCM

Acha ujinga wewe! Hivi viwanja vilijengwa na Serikali kutokana na kodi kutoka kwa Watanzania wote.

Baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, hivi viwanja pamoja vya michezo, vile vya wazi na majengo yote vilitakiwa kuwa chini ya Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji!

Ila kwa bahati mbaya kwa sababu ccm ni chama cha majambazi, mliviiba kinyemela.
Historia yako umeisomea wikipedia
 
Uwanja wa Halmashauri ya TUNDURU unamilikiwa na CCM
 
Historia yako umeisomea wikipedia
Sasa si bora hata ya mimi, kuliko wewe uliye isomea Lumumba buku 7! Full upotoshaji!! Eti wanachama wa ccm walichanga hela ya kujenga hivyo viwanja!!!
 
Back
Top Bottom