Hahaha, vijana mna vibwagizo kwelikweli.Uwe na aibu basi, mbona CCM hujawasema ambao wamefanya kampeni miaka yote mitano? Hivi binadamu tukoje sie au ndio "nyani haoni kundule"? CCM walichokifanya jana taifa hujakiona sio? Mengine tujifunze kunyamaza basi.
Tofautisha tamasha na kutafuta wadhamini.lakini kama na hili ni kosa nalo linaitaji kukemewa!!Uwe na aibu basi, mbona CCM hujawasema ambao wamefanya kampeni miaka yote mitano? Hivi binadamu tukoje sie au ndio "nyani haoni kundule"? CCM walichokifanya jana taifa hujakiona sio? Mengine tujifunze kunyamaza basi.
Ingekuwa ni wewe ungefanyaje?Lissu sio mwanasiasa na ukimuangalia,kaja julipiza kisasi kwa waliompiga risasi
Nadhani concern yako kuu ni kuanza kwa kampeni kabla ya muda husika ndugu yangu. Nami nimekujibu nikihusianisha na matukio hayo. Wewe reference yako kwa hilo ni tukio la mikutano ya Lisu kuongea na wanachama wenzake wa Chadema.Tofautisha tamasha na kutafuta wadhamini.lakini kama na hili ni kosa nalo linaitaji kukemewa!!
Hilo halikuwa tamasha bali ni KAMPENI 100%Tofautisha tamasha na kutafuta wadhamini.lakini kama na hili ni kosa nalo linaitaji kukemewa!!
Hakuna mpinzani ataisifia serikali ya kinyanyasaji Duniani kote, lazima mtambue kuwa mnayo mapungufu yenu makubwa na chombo cha kuwasemea wananchi ni wapinzani pekeeTofautisha tamasha na kutafuta wadhamini.lakini kama na hili ni kosa nalo linaitaji kukemewa!!
Hiki wao ndio hupenda kukisikia basi wanacheka na kusifia tu. Sijui kusifia sana kumewaondelea reasoning capacity yao!?Mnataka kupanuliwaaaaaaaa,nawapanueniiiii sasa.
Haya Panueniiiiiiiii.
Kama ni campaign nalo hili ni kosa .ndiyo maana nilasema next time NEC ije na utaratubu mwingine .mgombea akishapitishwa na chama campaign imeanze Mara mojaHilo halikuwa tamasha bali ni KAMPENI 100%
sababu kila msanii alimwimba Magufuli mwanzo mrisho, na wamevaa sare za chama karibu wote.
Ashukuriwe Mungu aliyeachilia roho ya faraka kwao wakaanza kupigana MITAMA🤏[emoji123][emoji3091]🦿[emoji111]
Halafu hawataji Aina ya matusi Ili na sisi tuyajue.Nani ametukana?
Yule aliyemwita mwenzake Bangi ni ccm kindakindaki, Mbasha ameonyesha Akili za ccm zilivyokuwa na yule aliyempiga mtama kaonyesha kuwa wapo wana ccm wengi hawapendi Ujinga wa ccm hii ya awamu ya kinyanyasaji.Hilo halikuwa tamasha bali ni KAMPENI 100%
sababu kila msanii alimwimba Magufuli mwanzo mrisho, na wamevaa sare za chama karibu wote.
Ashukuriwe Mungu aliyeachilia roho ya faraka kwao wakaanza kupigana MITAMA🤏[emoji123][emoji3091]🦿[emoji111]