Ndani ya hii miaka mitano ya huyu mungu wao wamejifunza na kukariri kusifia tu, basi hata mtu akikosoa huyo mungu wao, sera na mtendo yake waona hawaoni kama ni ukosoaji bali wanaona ni upingaji na matusi tu. Hakika wamepofushwa na ujinga walioamua kuishi ndani yake.
Sasa wanajiapiza kufanya vurugu et wanamlinda mungu wao dhidi ya wanaompinga. Wameanza huko Hai lakini mimi najua hii ndio sera yao uvccm wote kila mahali. Hivyo ndugu zangu wanachadema jipangeni, najua hata nyie hamtembei kiboya maana dalili zishaonesha kitambo sana.