lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Angalau hapa naona kidogo umeongea pointi.Kama ni campaign nalo hili ni kosa .ndiyo maana nilasema next time NEC ije na utaratubu mwingine .mgombea akishapitishwa na chama campaign imeanze Mara moja
Ndani ya hii miaka mitano ya huyu mungu wao wamejifunza na kukariri kusifia tu, basi hata mtu akikosoa huyo mungu wao, sera na mtendo yake waona hawaoni kama ni ukosoaji bali wanaona ni upingaji na matusi tu. Hakika wamepofushwa na ujinga walioamua kuishi ndani yake.Kwa upeo wako mdogo unaona wapinzani wanaiponda serikali? acha upumbavu wewe kile unachokiona siyo kuiponda serikali bali ni kazi ya upinzani kuisosoa kuonyesha udhaifu mapungufu ya serikali, unataka wapinzani waisifie serikali ili iweje?
Nani ametukanwa yani lissu kusema MTU amejenga uwanja was ndege kwake pasipo hata idhini ya binge ni kutukanwa,nyie CCM mmfanya siasa maika 5 yote mumewatukana hao wapinzanu kila aina ya matusi,mumewahujumu kiuchumi na kisiasa na hata kutumia dola kuwanyanyasa lakini bado Leo unaona kuwa CCM wanatukanwa???? Kweli????.Tofautisha tamasha na kutafuta wadhamini.lakini kama na hili ni kosa nalo linaitaji kukemewa!!
Safi Sana Mkuu,umeandika mistari minane lakini ujumbe wake unaishi,unaelimisha na kufungua akili za watu waliofunikwa kifikra.Kwa upeo wako mdogo unaona wapinzani wanaiponda serikali? acha upumbavu wewe kile unachokiona siyo kuiponda serikali bali ni kazi ya upinzani kuisosoa kuonyesha udhaifu mapungufu ya serikali, unataka wapinzani waisifie serikali ili iweje?
Magufuli ameanza kampeni miaka mingi amekuwa akigawa pesa vyeo tokea siku nyingiKama ni campaign nalo hili ni kosa .ndiyo maana nilasema next time NEC ije na utaratubu mwingine .mgombea akishapitishwa na chama campaign imeanze Mara moja
Wapuuzi sana hawa, walitaraji Lissu awe anampaba? Lazima aonyeshe mapungufu ya mshindani wake ili watu wamuone yeye kama mbadala.Halafu hawataji Aina ya matusi Ili na sisi tuyajue.
Halafu anasema Lissu kafanya Personal attack kwa JPM,Sasa Lisu anaeleza mapungufu ya JPM Ili watu wasimchague.Na hiyo ndio lengo la Chama Cha siasa.
Ni lazima ueleze mapungufu ya chama kilichojitokeza ama kiongozi aliyepo ili asichaguliwe.
Huyu NEC unayemsema hana hiyo nafasi ya kumkosoa boss wake. Sahau kuhusu hili. Ndicho kitu ambacho wapinzani wamekuwa wakikisema siku zote juu ya hii taasisi. Wanaweza wakayaona makosa ya upinzani na kuyakemea au hata kuchukua hatua kali lakini sio kwa boss wake na ccm yake.Kama ni campaign nalo hili ni kosa .ndiyo maana nilasema next time NEC ije na utaratubu mwingine .mgombea akishapitishwa na chama campaign imeanze Mara moja
Sasa kosa lake liko wapi,Kama kulipiza kisasi kwa watu waliotaka kukua Ni kosa Basi wewe Ni chizi.Lissu sio mwanasiasa na ukimuangalia,kaja julipiza kisasi kwa waliompiga risasi
ccm tokea mwaka 2016 wanafanya kampeni hawajawahi kuacha, walizuia mikutano ya siasa ili wafanya yao peke yao na wakapora wenyeviti wa serikali za mitaa kishetani na bado wakaona haitoshi wanaendelea na mizengwe mingine, ccm hawajawi kumuogopa munguNdani ya hii miaka mitano ya huyu mungu wao wamejifunza na kukariri kusifia tu, basi hata mtu akikosoa huyo mungu wao, sera na mtendo yake waona hawaoni kama ni ukosoaji bali wanaona ni upingaji na matusi tu. Hakika wamepofushwa na ujinga walioamua kuishi ndani yake.
Sasa wanajiapiza kufanya vurugu et wanamlinda mungu wao dhidi ya wanaompinga. Wameanza huko Hai lakini mimi najua hii ndio sera yao uvccm wote kila mahali. Hivyo ndugu zangu wanachadema jipangeni, najua hata nyie hamtembei kiboya maana dalili zishaonesha kitambo sana.
Maoni yako yanadhirisha sasa TL kaanza kampeni kabla ya wakati.we have long way to goWapuuzi sana hawa, walitaraji Lissu awe anampaba? Lazima aonyeshe mapungufu ya mshindani wake ili watu wamuone yeye kama mbadala.
Kweli kabisa Lissu kapigwa risasi,kaenda kutibiwa,mazombi wanamwita msaliti,laolewa na mabebebru,Sasa najiuliza hivi lisu alijipiga risasi ili aende kutibiwa kwa mabebebru?Kama ni kutukanwa, tuseme tu ule ukweli kuna mtu alietukanwa na kudhalilishwa hii nchi kama Tundu Lissu? Pamoja na madhila yote yaliyompata bado wanaccm hawakuwa na simile wala ubinaadamu wakamsema na kumtukana kwingi tu na mpaka sasa bado wanamtukana, sasa yeye ni malaika!? Acha awape vyenu na huyu mungu wenu ambae anapenda kusema wenzie ila akisemwa yeye mnakuja hapa hapa juu juu mnabwabwaja tu. Ukitaka kuheshimiwa jiheshimu kwanza.
Huo ndiyo Ukweli wenyewe japo ccm ya sasa imejaa watu wenye uvivu wa kufikiri, wapo wana ccm wajinga zaidi wanalazimisha watanzania wafikiri kama waoSasa kosa lake liko wapi,Kama kulipiza kisasi kwa watu waliotaka kukua Ni kosa Basi wewe Ni chizi.
Na Kama Lissu akitaka kulipiza kisasi Ni kuwapeleka mahakamani hatowapiga risasi.
Umeelewa wewe kitumbua.
Nimependa majibu na maelezo yako.Kuna watu wanaenda makanisani kuwaasa wananchi wasiwachague wanaowaita *vibaraka". Hawa unawasemaJe ?!. Je wao hawajaanza campaign mapema ?!. Acha double standard. Kuna wengine wanaandaa matamasha hao utasema hawajaanza campaign mapema ?!.
Katiba yetu ni mbovu. Haikuweka miiko ya kufuatwa na watawala bali na watawaliwa. Unapenda kuiona Cdm wakifuata utaratibu lakini ukipenda Ccm iendelee kufanya itakavyo . Shame on you.
Hebu anza kwa kumshauri mwenyekiti wako wa CCM aliyeanza kampeni kanisani.Pole sana mkuu. Utaweza kweli kuwashauri chadema?. Hiko chama hakishauriki. Wao wanajua kila kitu. Sisi wanaotuona wajinga, silaha yetu ipo kwenye sanduku la kura. Ni kuwanyima kura Mafiga yao matatu.