Uchaguzi 2020 Sioni sababu ya kufanya mikutano na kuwatukana wengine wakati wa kutafuta wadhamini

Hilo halina tofauti na la Jana la ccm kuanza kampeni kabla ya wakati kwa kuwanunua wasanii ili wasifie ccm,hapo pia NEC wachukue hatua ccm imeanza kampeni kabla ya muda
NEC ni wafanyakazi wa ccm ni sehemu ya ukoo familia ya ccm, NEC ni ccm hakuna chombo hakipendwi Tanzania kama NEC , hakuna Mtanzania huru mwenye Akili timamu anawaamini NEC hata siku moja
 

Attachments

  • 1806075_Screenshot_2018-07-30-18-49-18.jpg
    53.8 KB · Views: 2
  • 1806075_Screenshot_2018-07-30-18-49-18.jpg
    53.8 KB · Views: 2
serikali ya ccm ndiyo serikali inayopenda kesi kesi kuliko serikali zote Duniani
 
1.Wenzio kwa muda was miaka mitano hawakuwa na Uhuru wa kuongea na watu hivyo lazima watest mitambo ili kujua wamesahauliwa au LA
2. Washika hatamu walisema tayari walishakufa siku nyingi wakafanya na matanga, hiyo mikutano ndio inawathibitishia kuwa waliua kivuri vyama vya siasa vinaishi mioyoni mwa watu
3. Wamefanya vyema na sasa mmeamka kutoka kwenue ulevi wa kusemea mioyo ya watanzania
 
hata hao wadhamini ili wakudhamini ni lazima wasikie neno kutoka kwako hawawezi wakakudhamini tu from nowhere
Kongole mkuu-utamdhamini mtu ambae hata humjui au hujui anasimamia nini kwani kwa miaka 5 iliyopita alikuwa amepigwa kufuli?
 
Uko sahihi kabisa. NEC pia inapaswa kuweka wazi hayo maadili ya mchakato wa uchaguzi mkuu ambao wagombea wamepewa. Wananchi wanapaswa kujua kipi kinakatazwa kufanywa au kusemwa na wagombea hawa. Wananchi wanapaswa kujua kipi kinapaswa kufanywa kwa wagombea wanaokiuka miongozo hiyo ya mchakato wa uchaguzi mkuu.
 
Uwe na aibu basi, mbona CCM hujawasema ambao wamefanya kampeni miaka yote mitano? Hivi binadamu tukoje sie au ndio "nyani haoni kundule"? CCM walichokifanya jana taifa hujakiona sio? Mengine tujifunze kunyamaza basi.
Ni kama wakat ule utotoni unaanza kudhani unaweza kumpiga fulani kirahisi ila ngumi zikianda ukapewa za uso unaanza kulalamika ooooh hakuna za uso.... na wakat we ukipata nafas unamtandika fulani za uso....

Ubinafsi wa kijinga wanafanya ccm ndo maana hawawezi kushindana katika mizania sawa. Na vile wameona polisi wametulia lazma mtasikia vilio vingi sana hadi wasaidiwe.
 

Hiyo ndio siasa, tatizo lenu mnataka kuleta siasa za new generation, Yan siasa za ustaarabu flan hapana

Umesahau ccm walikuwa wanasema Lowassa nyuma alikuwa ameloa?

Acha twende hivi hivi Mpaka tarehe 28
 
Rais wetu HUKUMUONA alivyokuwa anafanya kampeni miaka yote mitano na kugawa pesa mitaani ! !!??? Juzi alipokuwa anaenda kuchukua form CCM makao makuu mbona alipiga kampeni. !! TUACHE DOUBLE STANDARD hii Nchi ni yetu wote.
 
Kama ni campaign nalo hili ni kosa .ndiyo maana nilasema next time NEC ije na utaratubu mwingine .mgombea akishapitishwa na chama campaign imeanze Mara moja
NEC ipo mfukoni kwa Jiwe..Hilo unaloshauri haliwezekani abadani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…