Uchaguzi 2020 Sioni sababu ya kufanya mikutano na kuwatukana wengine wakati wa kutafuta wadhamini

MATAGA, ni dhahiri Lissu amewashika kunako....
 
Rais wa zamani wa Union of Socialist Republics ( USSR ) Nkita Krushnev amerudia rudia mara nyingi --- Katika chaguzi zozote zile, wapiga kura sio muhimi kabisa. Watu muhimu ni wale wanaohesabu kura na wanaomtangaza mshindi kwa wanaogombea. NA HIZI NDIO TARATIBU YA CHAGUZI.
 
Nyinyi mmezunguka 5 good years peke yenu, media zenu then TAL kwa week 2 tu mnaanza kulia [emoji1781]
 
Kule Urusi hakuna ujinga kama wa ccm wapo vizuri wamejipanga sawa sawa
 
Hilo halina tofauti na la Jana la ccm kuanza kampeni kabla ya wakati kwa kuwanunua wasanii ili wasifie ccm,hapo pia NEC wachukue hatua ccm imeanza kampeni kabla ya muda
NEC na ccm ni kucha na vidole
 
Hivi ukiambiwa uorodheshe matusi unayoyajua duniani utaweza?Au kila neno uambiwalo hata kama ni ukweli kijijini kwenu walikuelekeza kwamba ni tusi?
 
Tofautisha tamasha na kutafuta wadhamini.lakini kama na hili ni kosa nalo linaitaji kukemewa!!

LInakuwaje kosa na wewe hakimu mkuu, hujaoina kama ni kosa?
tuseme kosa ni kosa mpaka pale wewe mailaika mkuu wa majaji utakaposema kosa nukta.
 
Kwannza nani atatuhusu tamasha la upande wa pili?
 
Hata wasimamishwe kila mtu awe anapokea kura yake lissu hatoboi hata robo ya kura zote...
Ebuanza kuhesabu humu ndani wanaomsema vibaya Lisu ni wangapi?na wanao msema magufuli vizuri ni wangapi?.
 
Adam Mchomvu kaonyesha njia, saizi wapuuzi wote ni kuwatia mitama ya uchumi wa kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…