Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

Hoja yangu haujaiona Mkuu.
Au ndio Ile Tabia ya kukimbia hoja kama walivyofanya kwa Gwajima.
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Acha magugu yajitenge na ngano safi.
Hao wanatumika na ccm ili kuisaidia maana pumzi waliyopelekewa haikuwa ya kitoto.
Anyway NO REFORMS NO ELECTION ndiyo agenda ya wazalendo kwa sasa
 
Swadakta mkuu, hii sio agenda ya Chadema pekee bali agenda ya wazalendo wote wa Tz
 
Kiongozi , tamaa yangu kubwa ni kuona tuna amka na tunaanza kufikiri kwa ku reason.

Hizi tabia za kulalamika za CHADEMA hazitaweza kuitoa CCM madarakani hata myaka 100 badae labda watu waanze kufikiri sawasawa . Badala ya kubwatuka.

Sasa kwa rafu kama hizi unategemea wasipate maumivu na kupiga kelele...?

Imagine, Lissu kapigwa kesi ya Uhaini. Kifungo ni kifo.

Kamati kuu imetenguliwa na msajili kinyemela.

Ruzuku imefutwa kinyemela na Msajili.

Chama kimeondolewa kwenye uchaguzi prematurely.

Leo mahakamainasimamisha shughuli za chama kinyemela.

Yote hayo kwako ni tatizo la Chadema. Seriously...!?
 
Tibeli bwana!

Huwezi kucontrol action za binadamu, ndio maana watu wanataka mahakama zenye kutenda haki, yakiletwa mashitaka yahukumiwe kwa haki.

Hata kama si Exmwana CDM kufungua mashitaka, yeyote angeweza kufanya hivyo kwa matakwa na maslahi yake binafsi.

Je Mahakama imetenda haki? Mzizi wa tatizo ni huu.

Katika mazingira ya kuwepo muhimili mmoja uliojichimbia chini zaidi mahakama zitatendaje haki? Mzizi wa tatizo bado hatujauona?

Come on!
 
1. Lissu angejitahidi kuwa na staha ktk uzungumzaji, binafsi nilienda kwenye mkutano wa Heche (just by chance Yan bila kupenda wala kupanga) nikaelewa sana hoja zake na hakutumia luggage sawa na TAL .

2. KTK uteuzi wa viongozi wangeheshimu utaratibu,
Na oia alolalamikia ni mwana chadema Hai... alilalamika kwa facts.

3. Hii issue ya ruzuku hii kama wamekatiwa basi binafsi naona msajir wa vyama amazing ua sana .....

4. Chama kimesema hakuna uchaguzi hajakisemea mtu .... me Nathaniel TAL Angegombea hata akiwa gerezani bado sngeleta challenge kubwa kwa mama na angepata wabunge wengi.

5. Alokipeleka Chama mahakamani tena ni mwana CHADEMA Hai. ... (AMEZINGUA KIUKWELI) angesubir Vikas vya ndani ndipo amazed malalamiko yake.
 
Hivi unajua aliyefungua hii kesi ni Shangazi yake na Salumu Mwalimu.

Hivi unajua kuwa Salumu Mwalimu kahamia Chauma na mke wake ni kati ya Wale Covid 19 bungeni?

All of these is coincidence to you. Seriously?

You are either easy to manipulate. Corrupted or you're playing games here. Sorry, I don't have time to waste.
 

Okay. nimekuelewa.

Ila kama tungekua face to face tungeweza peana ABC kwa weredi zaidi. ...
 
Chadema inaweza kuwa na changamoto za uaminifu ndani, lakini hilo haliondoi ukweli kwamba CCM inatumia rasilimali zake kuingilia uhuru wa vyama vingine.

Mahakama kuzuia shughuli za Chadema kutokana na kesi ya mwanachama wao wa Zanzibar ni jambo la kisheria, lakini si lazima iwe sahihi kisiasa.

Hili linaweza kuwa sehemu ya mkakati mpana wa kudhibiti upinzani. Numbers matter, yes, but integrity matters more. Wapinzani wa kweli si tu wale wanaoweza mikikimikiki, bali ni wale wanaoweza kusimama dhidi ya mfumo usio wa haki.
 
Acha magugu yajitenge na ngano safi.
Hao wanatumika na ccm ili kuisaidia maana pumzi waliyopelekewa haikuwa ya kitoto.
Anyway NO REFORMS NO ELECTION ndiyo agenda ya wazalendo kwa sasa

Lakini Chadema inatakiwa ikazane kushika Mkanda maana mashambulizi yamekuwa makali kanakwamba game ipo ukingoni
 
Unataka nijibu madai ambayo sijawahi kuyatoa kuhusiana naye. Hilo ni vyema ukauliza kwa wale wanaotoa madai hayo, kwani mimi sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA wala kumiliki kadi ya chama hicho. Pili, kama kuna chama kinachowateua watu wasio na sifa wala weledi kushika nafasi nyeti serikalini, basi ni CCM, maana hata nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi mmeikabidhi kwa mtu ambaye hata watoto wa chekechea wanashangazwa na uwezo wake mdogo kama kiongozi wa taifa.
 
Hakuna utekelezaji ... ni kauli mbiu sawa tu na ile ya utu na kazi.

Hii ndo bongo. Mtanyeta sio mda.

Wenzenu wanaongea huku wanatenda ...

Ninyi mnaongea huku mnazidi kuongea. ((Hamna utekelezaji)))
No Reform No Election
 

You have exploited or used your freedom of speech bila kutukana and I admire that. .....
Ni nadra kwa watu wa upinzani kuwa na tajiriba kama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…