Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo Wote!

Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.

Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.

CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.

Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.

Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.

Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.

Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?

Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.

Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.

Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Kuliko hawa ambao wananunulika.

Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!

Haya! Sisi tupo! Tunatazama.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
 
Kwenye hiyo kesi ushahidi umekamilika hadi mahakama ikatoa hukumu ya kusitishwa kwa shughuli za chama kwanza?? Kwa nini isingeacha kutoa amri hadi hapo kesi itakaposikilizwa kwa pande zote? Mwanao akienda kukushtaki hujamlipia ada basi papo hapo mahakama ikukataze kuzaa hadi pale utakapomsomesha mtoto.
 
We nawe kama hanaja tu siku hizi. Umekuwa Taicoon wa mchongo.
FB_IMG_1749561926263.jpg
 
Kwenye hiyo kesi ushahidi umekamilika hadi mahakama ikatoa hukumu ya kusitishwa kwa shughuli za chama kwanza?? Kwa nini isingeacha kutoa amri hadi hapo kesi itakaposikilizwa kwa pande zote? Mwanao akienda kukushtaki hujamlipia ada basi papo hapo mahakama ikukataze kuzaa hadi pale utakapomsomesha mtoto.

Pamoja na hayo. Huoni tatizo kwa mwanachadema kuishataki chadema? Mimi hoja yangu ndio IPO hapo.
.ni sawa na Yule Mchome
 
Hamjambo Wote!

Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.

Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.

CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.

Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.

Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.

Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.

Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?

Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.

Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.

Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Kuliko hawa ambao wananunulika.

Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!

Haya! Sisi tupo! Tunatazama.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam

"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni Madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki.*
Jeffs O'Brien.
 
Kwenye usaliti kama huu unafikiri mtutu utafanya KAZI?
Watu wanapewa pesa kidogo wanasaliti sembuse kwenye mtutu.

Unajua risks kiasi gani kutaka kuingia kwenye mtutu ukiwa na watu wasaliti wasiomaanisha kile wanachokisema?
 
Hamjambo Wote!

Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.

Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.

CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.

Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.

Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.

Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.

Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?

Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.

Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.

Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Kuliko hawa ambao wananunulika.

Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!

Haya! Sisi tupo! Tunatazama.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Una changamoto kiakili.Hebu pumzika.
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
CHADEMA IMEFUNGIWA
Rais Samia ni Mzanzibar
Aliye fungua kesi ni Mzanzibar
Wazanzibar wamefungia Makanisa
Wazanzibar wamefungia CHADEMA Tanganyika
Wazanzibar wameuza bandari za Tanganyika
Wazanzibar wameuza KIA na mbuga za Tanganyika kwa Waarabu.
Wanzanzibar wameuza Mwendokasi.
Wanzanzibar wanazima moto wa Watanganyika kwa kufira, kuuwa na kuteka (Yupo wap Mdude, Yupo wap Soka, Yupo wap Mzee Ally Kibao, Yupo wap Kipanya)
Wanzanzibar wamemuweka LISSU ndani.

Watanganyika tuna safari ndefu sana!
 
Back
Top Bottom