Mbowe amejificha kwenye huu mpango mbona mda wote kwanini sasa kwa Utawala mpya?
Ikiwa wenyekiti mstaafu alikuwa mamluki unadhani hata hao waliopo watakuwa kwenye hali gani?Tatizo lipo. Unafikiri misukosuko iliyopo chadema inatokana na nini?
Mamluki ni wengi
Na gawio linamsubiria
Ikiwa wenyekiti mstaafu alikuwa mamluki unadhani hata hao waliopo watakuwa kwenye hali gani?
Misukosuko imeanza baada ya Lisu kuwa Mwenyekiti, hii imepelekea Chadema kushambuliwa kupitia pande zote.
Sioni tatizo kwenye Uongozi wa Lisu ila naona Matatizo mengi kwenye Uongozi wa Mbowe maana ndio uongozi ulioruhusu takataka zote hizo ambazo zinasumbua mpaka sasa.
Janja wewe endelea kuwa kungwi wa mapenzi.
Akili ya kuchambua Kombolela na Huba unaileta kwenye kuchambua issue nyeti kama hizi?
Habari za siasa achana nazo endelea na mambo yako yale mengine mengine tu. Hakuna asiyejua ujinga wa CCM Kama Dr Slaa alinunuliwa na sasa katemwa what do you expect.Tatizo lipo. Unafikiri misukosuko iliyopo chadema inatokana na nini?
Mamluki ni wengi
Wewe nawe acha umbea yani kusoma haujui hata picha uoni, Zero IQ. Hizo ni njama ovu ya serikali ya kidikteta ya CCM dhidi ya CHADEMA.
Akitoa hoja badala ya tusi naomba uniquote nije niisome ndugu yangu.Toa hoja sasa.
Acha mvua indelee kunyesha ili panapovuja paonekaneCHADEMA IMEFUNGIWA
Rais Samia ni Mzanzibar
Aliye fungua kesi ni Mzanzibar
Wazanzibar wamefungia Makanisa
Wazanzibar wamefungia CHADEMA Tanganyika
Wazanzibar wameuza bandari za Tanganyika
Wazanzibar wameuza KIA na mbuga za Tanganyika kwa Waarabu.
Wanzanzibar wameuza Mwendokasi.
Wanzanzibar wanazima moto wa Watanganyika kwa kufira, kuuwa na kuteka (Yupo wap Mdude, Yupo wap Soka, Yupo wap Mzee Ally Kibao, Yupo wap Kipanya)
Wanzanzibar wamemuweka LISSU ndani.
Watanganyika tuna safari ndefu sana!
Akitoa hoja badala ya tusi naomba uniquote nije niisome ndugu yangu.
Kama kanisa la Mungu limefungwa kuna kitu mtakiogopa hapa duniani, sasa ni swaga miyombo twende
Habari za siasa achana nazo endelea na mambo yako yale mengine mengine tu. Hakuna asiyejua ujinga wa CCM Kama Dr Slaa alinunuliwa na sasa katemwa what do you expect.
Hapo msaliti ni naniIshu sio kufungwa. Ishu ni usaliti.
Hapo msaliti ni nani
Kwa nini CCM inafuata kurubuni wanachama upinzani?Ishu sio kufungwa. Ishu ni usaliti.