Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

Hamjambo Wote!

Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.

Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.

CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.

Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.

Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.

Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.

Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?

Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.

Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.

Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Kuliko hawa ambao wananunulika.

Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!

Haya! Sisi tupo! Tunatazama.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
No Reform No Election
 
Kuna aina ya usaliti huwezi tabiri. Unachoweza fanya tu ni kukabiliana na matokeo ikishatokea.
 
CHADEMA IMEFUNGIWA
Rais Samia ni Mzanzibar
Aliye fungua kesi ni Mzanzibar
Wazanzibar wamefungia Makanisa
Wazanzibar wamefungia CHADEMA Tanganyika
Wazanzibar wameuza bandari za Tanganyika
Wazanzibar wameuza KIA na mbuga za Tanganyika kwa Waarabu.
Wanzanzibar wameuza Mwendokasi.
Wanzanzibar wanazima moto wa Watanganyika kwa kufira, kuuwa na kuteka (Yupo wap Mdude, Yupo wap Soka, Yupo wap Mzee Ally Kibao, Yupo wap Kipanya)
Wanzanzibar wamemuweka LISSU ndani.

Watanganyika tuna safari ndefu sana!
Na mwenye huu Uzi nadhani NI PONJOLO WA kizanzibar pia
 
Hamjambo Wote!

Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.

Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.

CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.

Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.

Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.

Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.

Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?

Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.

Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.

Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Kuliko hawa ambao wananunulika.

Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!

Haya! Sisi tupo! Tunatazama.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Kinacho fuata ni nini wakuu na juzi Wa mambo ya kisiasawatwambie
 
CHADEMA IMEFUNGIWA
Rais Samia ni Mzanzibar
Aliye fungua kesi ni Mzanzibar
Wazanzibar wamefungia Makanisa
Wazanzibar wamefungia CHADEMA Tanganyika
Wazanzibar wameuza bandari za Tanganyika
Wazanzibar wameuza KIA na mbuga za Tanganyika kwa Waarabu.
Wanzanzibar wameuza Mwendokasi.
Wanzanzibar wanazima moto wa Watanganyika kwa kufira, kuuwa na kuteka (Yupo wap Mdude, Yupo wap Soka, Yupo wap Mzee Ally Kibao, Yupo wap Kipanya)
Wanzanzibar wamemuweka LISSU ndani.

Watanganyika tuna safari ndefu sana!
Sisi Watanganyika ni Mafala
 
Hamjambo Wote!

Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.

Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.

CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.

Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.

Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.

Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.

Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?

Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.

Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.

Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Kuliko hawa ambao wananunulika.

Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!

Haya! Sisi tupo! Tunatazama.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Mtibeli, una hakika kuwa Salumu Mwalimu ni Chadema? Au yule amvaye yuko Chaumma wamefanana tu majina?

Vv
 
Sio kila jambo la kulilipukia kufungua nyuzi
 
Tumia akili sio kuropoka upuuzi rundo
 
Pamoja na hayo. Huoni tatizo kwa mwanachadema kuishataki chadema? Mimi hoja yangu ndio IPO hapo.
.ni sawa na Yule Mchome
Kwani unadhani Kuna ugumu kwa mke wako kupagawishwa na jamaa jingine na mwisho wa siku kukukana kuwa wewe si mume wake hata kama mmefunga naye ndoa..?

This scenario is relevant to this one...

Hao walikuwa wake wa CHADEMA. Wameolewa na CCM/serikali. Ghafla wamemgeuka na kumkana mume wao CHADEMA...

Wa kulaumiwa hapa na huyu mwanaume anayerubuni na kuchukua wake za watu...!

Hata hivyo, kesi inaendelea. Kitakachofanyika ni huyu mume aliyeporwa mke kwenda na ushahidi kuwa huyu ni mke wangu halali kisheria akiwa na ushahidi wa hati ya kisheria ya ndoa..

Mchezo utaishia hapo...
 
Ulioana naye akiwa na tabia nzuri sana. Ulifanya hiyo unaita vetting ulijiridhisha kila kitu. Kabadilika kaku cheat. Hapo bado ni kosa lako?
 
Hamjambo Wote!

Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.

Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.

CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.

Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.

Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.

Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.

Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?

Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.

Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.

Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Kuliko hawa ambao wananunulika.

Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!

Haya! Sisi tupo! Tunatazama.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Tatizo ni viongozi wa CHADEMA
 
Mkuu jambo gani ambalo haulielewi hapo, kwani wakati Prof lipumba anajivua uenyekiti wa CUF wakati ule, alikuwa anafanya kwa utashi wake au alikuwa amenunuliwa?.

Jambo la msingi ni kwamba hata tukijitoa ufahamu vipi, huduma za afya zikiwa mbaya, mfumuko mkubwa wa bei ya bidhaa na ugumu wa maisha vitatushenyenta wote, yaani chawa, waimba ngonjera na wanachama wa chainizi wote.
 
Mkuu jambo gani ambalo haulielewi hapo, kwani wakati Prof lipumba anajivua uenyekiti wa CUF wakati ule, ajikuwa anafanya kwa utashi wake au alikuwa amenunuliwa?.

Jambo la msingi ni kwamba hata tukijitoa ufahamu vipi, huduna za afya zikiwa mbaya, mfumuko mkubwa wa bei ya bidhaa na ugumu wa maisha vitatushenyenta wote, yaani chawa, waimba ngonjera na wanachama wa chainizi wote.

Upo sawa
 
Back
Top Bottom