Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

Huyo mtu yupo Chama gani kwasasa kama unajua?

Yaani mtu anafungua kesi wakati huo huo anahama Chama kabisa

Maelezo yaliyopo kwenye taarifa ya Kesi ndio yananifanya nione kunatatizo la Msingi Chadema.

Mfikirie Mchome
Mfikirie huyu aliyenzisha.
Fikiria walionunuliwa.
Hoja yangu huioni?
 
Hamjambo Wote!

Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.

Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.

CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.

Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.

Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.

Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.

Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?

Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.

Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.

Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Kuliko hawa ambao wananunulika.

Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!

Haya! Sisi tupo! Tunatazama.

Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Hili andiko limekaa kitaahira sana.
 
Unaweza kuua mtu lkn kamwe uwezi kuua fikra zake,ambazo zimeshajikita kwenye mioyo ya watu,,watu wataendelea kutembea na hizo fikra daima kwa kuwa tu zinawagusa.
 
Nasemaje huwezi kuacha kulaumu CCM kwa yanayoendelea maana haitaki kufuata utawala wa sheria na kutenda haki..matokeo yake inatumia gharama kubwa kutengeneza mamluki. Ndo mana nasema wewe nawe umekuwa hanaja tu umekuwa kipofu

Kwenye hili CCM na Mahakama mnailaumu vipi?

Kwamba kumshawishi mwanachama wenu kuwafungulia Kesi?
 
Maelezo yaliyopo kwenye taarifa ya Kesi ndio yananifanya nione kunatatizo la Msingi Chadema.

Mfikirie Mchome
Mfikirie huyu aliyenzisha.
Fikiria walionunuliwa.
Hoja yangu huioni?
Hao akina Mchome wapo Chama gani kwasasa?

Na tukumbuke hizo kesi walianzisha baada ya Katibu Mkuu kugomea kwenda kusaini zile Fomu za kushiriki Uchaguzi ujue

Baadaye ndiyo wakahama na Chama
 
Kwenye hili CCM na Mahakama mnailaumu vipi?

Kwamba kumshawishi mwanachama wenu kuwafungulia Kesi?
FB_IMG_1749561926263.jpg
 
Unaweza kuua mtu lkn kamwe uwezi kuua fikra zake,ambazo zimeshajikita kwenye mioyo ya watu,,watu wataendelea kutembea na hizo fikra daima kwa kuwa tu zinawagusa.

Mkuu hoja yangu huipati.
CCM inakosa gani kuwatumia wanachadema wenye tamaa kuiharibu chadema.? Hilo ndio swali.
Hizo ni siasa za kawaida.

Na Mimi hizo sioni zinatatizo.
Tatizo lipo ikiwa watatumia mabavu, kuua, kuteka, kutishia n.k. Lakini kama kuna wapenda Fedha chadema unataka ccm wasitumie udhaifu huo?
 
Kuna chama au taasisi duniani ambayo haina watu wanaonunulika??.....

Kama CIA tu inapata wasaliti, Itakuwa CHADEMA iliyo kisiasa ambayo viongozi wake wana ndoto na maslahi binafsi..

Hata hivyo wacha niwaache wafu mzikane
 
sasa wanachma kama hawa lazima wawepo ili maandiko yatime.Yuda katila wale 12 ilibidi awepo ili apewe vipande 30

Na ndio maana nikasema hapo Chadema lazima ijidhatiti kuteua viongozi waaminifu.
Vinginevyo itakuwa kila mara CCM wanawachezea rafu.

Mfikirie Mchome
Haya sasa kuna huyu.

Mnaruhusuje Adui anashambulia kutokea ndani kwenu?
 
Kuna chama au taasisi duniani ambayo haina watu wanaonunulika??.....

Kama CIA tu inapata wasaliti, Itakuwa CHADEMA iliyo kisiasa ambayo viongozi wake wana ndoto na maslahi binafsi..

Hata hivyo wacha niwaache wafu mzikane

Vizuri!
Swali! Ni nini Kosa la CCM kuwatumia wanachadema wasiowaaminifu kuivuruga Chadema?

Na je chadema wao hawaoni makosa yao ili wajirekebishe?
 
Na ndio maana nikasema hapo Chadema lazima ijidhatiti kuteua viongozi waaminifu.
Vinginevyo itakuwa kila mara CCM wanawachezea rafu.

Mfikirie Mchome
Haya sasa kuna huyu.

Mnaruhusuje Adui anashambulia kutokea ndani kwenu?
Chadema ikitokea imeshinda basi hata hao waliopo CCM watahamia chama dola.

Mamluki wapo kila sehemu, hii ni kutokana na maslahi yao binafsi.

Sioni kosa la Chadema ya Lissu isipokuwa kwenye Chadema ya Mbowe.
 
Tatizo lipo. Unafikiri misukosuko iliyopo chadema inatokana na nini?
Mamluki ni wengi
 
Back
Top Bottom