Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

Naomba mniandikie tusi moja lililopo kwenye huo wimbo
Ivi kwamfano ww ukaambiwa kabati limedondoka twende ukasaidie ...hapo ni kabati kweli au msosi tayari??? Kwahyo kama akili zikiwa fupi utajua ni kweli kabati limedondoka .....lakin Ujumbe ni tofauti
 
Nenda shule dogo acha fujo.
 
Tanzania tanzania nchi yenye Mara nyingi watu wote wa ulaya wana ililia sana tuliona ndege wengi chini wakitia fola Kama mtoto wa nyumbani, sisi kwa level za unafiki hutuwezi maadili yapi ujue kuna watu walikaa wakaanzinsha nyuzi ufungiwe
 
Mkuu mie kwangu burudani kabisaaaa [emoji3][emoji3][emoji3]chezea nyegezi ww
Najua sana, ila sijaiona hata hiyo burudani yenyewe katika huo wimbo
 
Kawaida yetu watz sishangai sana...... Unafiki jadi yetu... Ukute wanaofurahia ufungwe hapo anatazama ngoma za akina Rihanna wakiwa na vichupi vyao na anachekelea tuuu sasa sijui kapinga nn km sio ubwabwa tuu
Tanzania tanzania nchi yenye Mara nyingi watu wote wa ulaya wana ililia sana tuliona ndege wengi chini wakitia fola Kama mtoto wa nyumbani, sisi kwa level za unafiki hutuwezi maadili yapi ujue kuna watu walikaa wakaanzinsha nyuzi ufungiwe
 
Ivi kwamfano ww ukaambiwa kabati limedondoka twende ukasaidie ...hapo ni kabati kweli au msosi tayari??? Kwahyo kama akili zikiwa fupi utajua ni kweli kabati limedondoka .....lakin Ujumbe ni tofauti
Kwahyo hayo ndiyo matusi yaliyopo kwenye huo wimbo?
 
Hivi hili baraza lina wazimu gani? Sioni sababu ya kuifungia ile nyimbo kiukweli... Kwa style hii wasanii wetu watapata tabu sana. Ebu tusaidiane kwahili ile nyimbo ina tatizo kwani?!View attachment 930772
Mngereza ni mwalimu wangu FPA wakati nasoma option courses! Alikuwa anaikosoa sana BASATA sasa nashangaa anawahujumu wasanii.
 
ifikie kipindi basi kabla ya msanii kuufanuia wimbo video au mastaring wawe wanapereka demo zao badsya zidikilizwe na kupitishwa ili kuondokana na gharama wanazo ingia.....*tamati* BASATA ijue wansatufanya wapenzi na mashabiki wa muziki pamoja na wasanii wetu wanao pambana kuhakikisha wanafikisha mbali sanaa na pia kuitangaza nchi yetu tuishi tusi toe sapoti ya kutosha laahhh tuendelee kushabikia nyimbo zetu za asili na za waganga wakienyeji
 
Fyekelea mbali takataka..

Nyimbo za hovyohovyo ni za kusukumia ndani...
 
Msanii akitoa nyimbo yenye content ya matusi kama taifa tunapata hasara Gani kiuchumi kitamaduni nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…