varangati
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,726
- 1,628
Ivi kwamfano ww ukaambiwa kabati limedondoka twende ukasaidie ...hapo ni kabati kweli au msosi tayari??? Kwahyo kama akili zikiwa fupi utajua ni kweli kabati limedondoka .....lakin Ujumbe ni tofautiNaomba mniandikie tusi moja lililopo kwenye huo wimbo