Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Anasema Africa tumechezewa sana !Unaposema habari nyingine unamaanisha nini? Au ndio mahaba niue
Kwa sasa baadhi yao wameanza kuelewa kuwa kumbe Katiba ikiweka madaraka makubwa sana sana kwa Mkuu wa Nchi halafu wakati huo huo huyo Mkuu wa Nchi akiwa pia ndio Mkuu wa Chama , Hapo kila mtu ni lazima arudishe mikono nyuma 😳🙄🫡🫡 🙏🙏 !Asituhamishe kwenye mjadala wa kwa nini mama yenu ajiteue kugombea urais kinyume na katiba ya chama?
Sasa mamlaka ya kunizuia unayapata wapi?Mimi simtetei bali wewe huna mamlaka ya kuhoji staili yake ya muonekano wala hoja yako haina mantiki.
Tumechezewa na nani?Anasema Africa tumechezewa sana !
Je huoni kwa usemi huo tu yeye anakuwa ni habari nyingine ?!
Duh kotapini ya baiskeli au ??!😅Huyo ni askari mwanamapinduzi aliyeimpindua nchi kwa nguvu na si demokrasia.....vyovyote iwavyo anaweza kuwa na "style" zake katika uongozi alionao....
Ukisikia ile kotapini ya mh.Rais Museveni ndiyo hiyo sasa....yaani ukipataka alipo basi ipitie njia hizohizo zilizomfikisha hapo.....
Mabeberu na mafisadi 🤣😂Tumechezewa na nani?
Yaah ,a.k.a ya M 7 hiyo....ha ha haDuh kotapini ya baiskeli au ??!😅
We ni mpumba.vu, Traole ni komando, Kikwete sio level yake alikuwa mkufunzi tu wa siasa jeshini, huyo ni active soldier, weka pembeni urais wake bado anaingia vitani kupambana, kutembea na siraha ni kumaanisha nchi yake iko vitani, na ukiona unamchukia huyo jua kichwani uko na shida, takwimu zinaonesha ndo kiongozi wa nchi anayeongoza kwa kupendwa barani Afrika.Hivi una akili Timamu kweli wewe? Unamfahamu vyema Mheshimiwa Jakaya Kikwete? Unafahamu historia yake ? Huna adabu kabisa wewe.
Nchi yake ipo vitani na nani? Halafu naona wewe ni mtoto wa Juzi na ndio maana humfahamu vyema Jasusi na Komandoo Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho KikweteWe ni mpumba.vu, Traole ni komando, Kikwete sio level yake alikuwa mkufunzi tu wa siasa jeshini, huyo ni active soldier, weka pembeni urais wake bado anaingia vitani kupambana, kutembea na siraha ni kumaanisha nchi yake iko vitani, na ukiona unamchukia huyo jua kichwani uko na shida, takwimu zinaonesha ndo kiongozi wa nchi anayeongoza kwa kupendwa barani Afrika.
Kwa sababu wewe ni ndezi lazima tukusaidie kufikiriSasa mamlaka ya kunizuia unayapata wapi?
Hapo umebugi big time huku k7jifanya kwako mjuaji wakati ni mweupe ndiyo kunazidi kukuvua nguo,mambo mengine kaaga kimya tu.Nchi yake ipo vitani na nani? Halafu naona wewe ni mtoto wa Juzi na ndio maana humfahamu vyema Jasusi na Komandoo Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete
Umejibu vizuri kabisa . Na ndicho hata mimi nimeandika hivyo katika andiko langu.Kwa level yake sidhani hata kama waonataka kumuua watatumia silaha. Most of the time hawa wakuu wa nchi wanaishiaga kupandikiziwa cancer causing agents au sumu isiyojulikana. Hakuna wa kukuua kwa risasi wahangaike na kesi mahakamani na masuala ya ushahidi nk.
Jibu swali langu na siyo kuruka ruka na porojo zako hapa.Hapo umebugi big time huku k7jifanya kwako mjuaji wakati ni mweupe ndiyo kunazidi kukuvua nguo,mambo mengine kaaga kimya tu.
Mbona unashindwa kujibu maswali dogo. Hivi wewe huwezagi kufikiri? Umebeba kichwa kama mzigo tu😄😄Kwa sababu wewe ni ndezi lazima tukusaidie kufikiri
Tatizo lako unatumia kijambio kufikiri yaani wewe ni tutusa kabisaMbona unashindwa kujibu maswali dogo. Hivi wewe huwezagi kufikiri? Umebeba kichwa kama mzigo tu😄😄
... mh.rais Trump alitwangwa risasi ya sikio.....Kwa level yake sidhani hata kama waonataka kumuua watatumia silaha. Most of the time hawa wakuu wa nchi wanaishiaga kupandikiziwa cancer causing agents au sumu isiyojulikana. Hakuna wa kukuua kwa risasi wahangaike na kesi mahakamani na masuala ya ushahidi nk.
Lakini mhalifu alikamatwa na kuuwawa.... mh.rais Trump alitwangwa risasi ya sikio.....
Kabisa !We ni mpumba.vu, Traole ni komando, Kikwete sio level yake alikuwa mkufunzi tu wa siasa jeshini, huyo ni active soldier, weka pembeni urais wake bado anaingia vitani kupambana, kutembea na siraha ni kumaanisha nchi yake iko vitani, na ukiona unamchukia huyo jua kichwani uko na shida, takwimu zinaonesha ndo kiongozi wa nchi anayeongoza kwa kupendwa barani Afrika.