Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Mtoa mada,kaa ukijua kuwa kwa huyo Rais uliye weka picha yake hapo somo la UCHAWA HALIPO NA HALIFUNDISHWI WALA HUTAKIWI KUONEKANA UNAONESHA VITENDO VYA KICHAWA kama ilivyo kule TANGANYIKA.

Huyo ni Rais mwenye maono ya kutoboa ukuta hivyo ni lazima ajihami mwenyewe badala ya kutegemea kulindwa na MACHAWA.
Ukimpelekea wazo la kichawachawa unakula shaba chapu na hakuna kusikia wala kuona mabango kila pembe eti mamaaaamamamamamamamaaa.
 
Asituhamishe kwenye mjadala wa kwa nini mama yenu ajiteue kugombea urais kinyume na katiba ya chama?
Kwa sasa baadhi yao wameanza kuelewa kuwa kumbe Katiba ikiweka madaraka makubwa sana sana kwa Mkuu wa Nchi halafu wakati huo huo huyo Mkuu wa Nchi akiwa pia ndio Mkuu wa Chama , Hapo kila mtu ni lazima arudishe mikono nyuma 😳🙄🫡🫡 🙏🙏 !

Hesabu ni rahisi tu : - kusuka au kunyoa !
Katiba mpya bora ni muhimu 🙏🙌
 
Huyo ni askari mwanamapinduzi aliyeimpindua nchi kwa nguvu na si demokrasia.....vyovyote iwavyo anaweza kuwa na "style" zake katika uongozi alionao....

Ukisikia ile kotapini ya mh.Rais Museveni ndiyo hiyo sasa....yaani ukipataka alipo basi ipitie njia hizohizo zilizomfikisha hapo.....
Duh kotapini ya baiskeli au ??!😅
 
Hivi una akili Timamu kweli wewe? Unamfahamu vyema Mheshimiwa Jakaya Kikwete? Unafahamu historia yake ? Huna adabu kabisa wewe.
We ni mpumba.vu, Traole ni komando, Kikwete sio level yake alikuwa mkufunzi tu wa siasa jeshini, huyo ni active soldier, weka pembeni urais wake bado anaingia vitani kupambana, kutembea na siraha ni kumaanisha nchi yake iko vitani, na ukiona unamchukia huyo jua kichwani uko na shida, takwimu zinaonesha ndo kiongozi wa nchi anayeongoza kwa kupendwa barani Afrika.
 
Nchi yake ipo vitani na nani? Halafu naona wewe ni mtoto wa Juzi na ndio maana humfahamu vyema Jasusi na Komandoo Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete
 
Kwa level yake sidhani hata kama waonataka kumuua watatumia silaha. Most of the time hawa wakuu wa nchi wanaishiaga kupandikiziwa cancer causing agents au sumu isiyojulikana. Hakuna wa kukuua kwa risasi wahangaike na kesi mahakamani na masuala ya ushahidi nk.
 
Hapo umebugi big time huku k7jifanya kwako mjuaji wakati ni mweupe ndiyo kunazidi kukuvua nguo,mambo mengine kaaga kimya tu.
 
Kwa level yake sidhani hata kama waonataka kumuua watatumia silaha. Most of the time hawa wakuu wa nchi wanaishiaga kupandikiziwa cancer causing agents au sumu isiyojulikana. Hakuna wa kukuua kwa risasi wahangaike na kesi mahakamani na masuala ya ushahidi nk.
Umejibu vizuri kabisa . Na ndicho hata mimi nimeandika hivyo katika andiko langu.
 
Kwa level yake sidhani hata kama waonataka kumuua watatumia silaha. Most of the time hawa wakuu wa nchi wanaishiaga kupandikiziwa cancer causing agents au sumu isiyojulikana. Hakuna wa kukuua kwa risasi wahangaike na kesi mahakamani na masuala ya ushahidi nk.
... mh.rais Trump alitwangwa risasi ya sikio.....
 
We ni mpumba.vu, Traole ni komando, Kikwete sio level yake alikuwa mkufunzi tu wa siasa jeshini, huyo ni active soldier, weka pembeni urais wake bado anaingia vitani kupambana, kutembea na siraha ni kumaanisha nchi yake iko vitani, na ukiona unamchukia huyo jua kichwani uko na shida, takwimu zinaonesha ndo kiongozi wa nchi anayeongoza kwa kupendwa barani Afrika.
Kabisa !
 
Back
Top Bottom