Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Si unaona amevaa gwanda kwahiyo pamoja na uraisi inamaana yupo pia kwenye majukumu ya kijeshe
 
Ipi Tofauti ya huyo na mama ya bi chura anavyozingirwa na walinzi wenye silaha za kivita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…