The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Umefuta lile la Baba kumchukia baba yako?basi bwana samahani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefuta lile la Baba kumchukia baba yako?basi bwana samahani.
Si ushauri tu mjomba,kama ni kivyopendekeza hapo juu jamaa atoe kiunoniWewe huna akili kabisa. Bado ujinga unakusumbua sana kichwani mwako.
Si unaona amevaa gwanda kwahiyo pamoja na uraisi inamaana yupo pia kwenye majukumu ya kijesheNdugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbona babu Wasira hajawahi kuwa mpambe mavi kama wewe ila kalamba teuzi au wewe umemalizwa na gundi za ukoo wakina MwasambwandaHaujawahi kuwa na akili. Umelaaniwa wewe
Embu acha ujinga😄😄Mbona babu Wasira hajawahi kuwa mpambe mavi kama wewe ila kalamba teuzi au wewe umemalizwa na gundi za ukoo wakina Mwasambwanda
Kabisa mkuu.Mambo yataharibika muda siyo mrefuNakuunga mkono. Anapaswa kushauriwa kuacha ulimbukeni na utoto.
Ipi Tofauti ya huyo na mama ya bi chura anavyozingirwa na walinzi wenye silaha za kivita?Ndugu zangu Watanzania,