Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Ndio ujiulize wakati wa Kikwete uliwahi kuona anazungukwa na watu wenye bunduki? Tafuta picha yoyote ya awamu ya Kikwete uone kama kuna mtu yuko karibu naye ameshika Bunduki. Ukiachana na hilo captain Ibrahim Traore sio rais bali ni kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Burkina Faso. Hakuna maajabu kwa kiongozi wa kijeshi kutembea na silaha maana ndivyo inavyotakiwa.
 
Wewe kwa akili yako unaona ni sawa kiuongozi katika karne hii? Ungekuwa wewe ungefanya hivyo?
Wewe ni mpumbavu tu yeye ameamua style yake hiyo wewe unapata shida gani ina maana nchi nzima ya Burkina Faso wote ni wajinga wewe ndiyo una akili kuwashinda wao, wacha ubwege na mada zako za kishamba. Huna hoja hapo .
 
Unamfahamu Rais wa misri? Je hakuwa kiongozi wa kijeshi wakati anaingia madarakani? Je uliwahi kuona akifanya hayo maigizo?
 
Jibu maswali dogo.acha kurukaruka kama maharage
 
Unamfahamu Rais wa misri? Je hakuwa kiongozi wa kijeshi wakati anaingia madarakani? Je uliwahi kuona akifanya hayo maigizo?
rais wa Misri dyo reference/standard ya wengine wote ku-subscribe public life style yake?
 
Huyo mpendwa wenu mbona naye amezungukwa na walinzi utafikiri nchi ipo vitani?
 
Jibu maswali dogo.acha kurukaruka kama maharage
Hakuna swali wewe umesema huoni sababu ya yeye kuvaa hivyo yeye mwenyewe ana sababu za kuvaa hivyo sasa kuna nini cha kujadili au wewe unajiona ndiyo ISO kuwa unachoona sawa kila mtu akubaliane na wewe? Una tatizo kwenye ubongo wako wewe.
 
rais wa Misri dyo reference/standard ya wengine wote ku-subscribe public life style yake?
Ninyi si Mmejenga hoja dhaifu kuwa anafanya hivyo kwa sababu ni mwanajeshi na ameingia madarakani kijeshi.
 
Hakuna swali wewe umesema huoni sababu ya yeye kuvaa hivyo yeye mwenyewe ana sababu za kuvaa hivyo sasa kuna nini cha kujadili au wewe unajiona ndiyo ISO kuwa unachoona sawa kila mtu akubaliane na wewe? Una tatizo kwenye ubongo wako wewe.
Ni nini sababu ya msingi ya yeye kuweka silaha vile? Jibu swali hili bila porojo
 
Wewe inakuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…