Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Ndugu zangu Watanzania,

Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.

Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.

Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.

Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.

Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Japo sipendi pompous za huyu Rais, lakini namna gani analindwa ni la kwake na wanaomlinda.

Marehemu Rais Ahmed Sekou Toure alipoingia madarakani alisema ni ujinga kwa Rais anayependwa na wananchi wake kulindwa sana. Yeye akakataa ulinzi. Siku moja akiwa anaendesha mwenyewe gari akakoswakoswa na risasi. Ahahahahaha!!!

Baada ya hapo, akawa ndiye Rais wa Africa anayelindwa kuliko Rais yeyote kipindi hicho! Ahahahahaha!!!
 
Kikwete ana cheo kikubwa,kama siyo kanali ni kapten
Vasco Dagama alikuwa na cheo cha Kanali lakini mkufunzi wa siasa! Muulize alikwenda Mutukula wakati wa vita ya Kagera? Yeye na mwenzie Kimbau ( Mbunge wa Mafia enzi hizo) walikuwa wanavaa combat dress wanaranda randa mtaa wa Samora wakati wenzao walikuwa FRONT 😳😳
 
Hauna akili. Silaha ya ibrahim traore ni ishara ya kuwa licha ya wasaidizi wake kuwa tayari kufa kwaajili yake, yeye pia yupo tayari kujilinda hadi tone la mwisho la damu yake. Shenzi type
Problem ni kwamba yale manyang'au yakitaka kumnyakua traore hataweza kushika hata hiyo triger, sinwar alikutwa na drone kajikalia zake kwenye kochi huku akiwa tayari kachakaa hajiwezi.

Labda kama anajilinda dhidi ya vibaka wa hapo nyumbani senegal.
 
Wewe ndiye hupendwi na roho yako ya korosho hiyo.
Angekuwa anapendwa asingehangaika kugawa fedha kama hana akili kichwani! Leo kahonga kujenga kanisa na kesho yake anahonga kujenga msikitini!!
Anatafuta Urais kwa mbinde mpaka sasa anatoa roho za watu kama kafara! Katika historia ya nchi hii hatujawahi kuona watu kupotezwa kama Samia anavyopoteza watu! Lakini KARMA will pay her back!
 
Problem ni kwamba yale manyang'au yakitaka kumnyakua traore hataweza kushika hata hiyo triger, sinwar alikutwa na drone kajikalia zake kwenye kochi huku akiwa tayari kachakaa hajiwezi.

Labda kama anajilinda dhidi ya vibaka wa hapo nyumbani senegal.
Hata vibaka tu wanaweza kumuwahi na asiweze hata kuchomoa hiyo silaha kiunoni. Anachofanya ni utoto tu . Akikua ataacha tu.
 
Ajabu umeshindwa kukumbuka Samia unayesema anapendwa na mamilioni ila alipotembelea kwa waziri mkuu mstaafu mzee Malecela akaingia sebuleni na kiti chake badala ya kukaa kwenye sofa zilizokuwa wazi je alihofia nini?

Samia-Suluhu-1320x740.jpg
 
Angekuwa anapendwa asingehangaika kugawa fedha kama hana akili kichwani! Leo kahonga kujenga kanisa na kesho yake anahonga kujenga msikitini!!
Anatafuta Urais kwa mbinde mpaka sasa anatoa roho za watu kama kafara! Katika historia ya nchi hii hatujawahi kuona watu kupotezwa kama Samia anavyopoteza watu! Lakini KARMA will pay her back!
Kweli wewe ni jinga kwelikweli,ni zaidi ya Zuzu. Kwa hiyo unataka RAIS asiwachangie watu kujenga makanisa na misikiti? Au wewe ni pepo ambaye unaogopa uwepo wa makanisa na misikiti?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.

Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.

Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.

Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.

Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hata hujui politics.
Unashindws politics hata na mapadre.
Hawa makasisi wamekuja kumwambis,: "Kijana,tumesikia unataka kwenda Goma. Okay,sisi tunakuruhusu uende Goma."
Halafu inategemea nini,kwamba asiwalaki na bastola yake?
Ile nchi ni kama Wild,Wild West of the American cowboys days.
One third of the country,I think is out of his control. That is why he is walking armed like that
Tumesikia Vatican is controlling the world, sasa tunaona what is happening.
Live wamekuja kuidhinidha vita.
Lakini in this wanapotaka kwenda Goma,kwanza, what is stopping them?
Kwa muda mrefu Traore amesema anataka kwenda Goma, lakini hatijsysona majeshi yake yakipigana kule.
Indeed Hawa wote nadhani ni peace keepers na hawajaruhusiwa kupigana.
Sasa,you want to reverse the march of M23 to Kinshasa.
Mimi I don't know what to think about this.
Naona kama vile M23 wanaonges lufha ya nation building na wanaonges kuhusu kukuza biashara in the Great Lakes Region.
Kwa hata kama ushindi wa Wazalendo ukiwa ni logical, tunaweza kupata hasara M23 wakishindwa.
FRDC ,it is obvious hawataki kupigana and there is rumour that they might overthrow the government.
Kwa hiyo Mimi ndio nakuwa na mawazo kama haya ambayo yanaweza kuwa dangerous thinking kwa sababu Foreign Policy yetu Tanzania sasa hivi ni kuisapoti Serikali ya Kongo.
Watu wanafurahi sana kupigana vita kuitetea nchi yao lakini hawalipwi mshahara kwa wakati na Serikali ya Kongo.
Wazalendo, they are in high spirits lakini they are not properly armed.
Halafu to increase the confusion kuna mtu katika serikali Ile alisema juzi kwamba Kiswahili ni maryfuku kusikika kinaongewa Kinshasa.
Uliisikia hiyo stori nadhani.
Halafu wale watu walikuwa wanasema kwa nini tusiandamane kuelekea Ikulu,Kinshasa ili wajue Waswahili katika Jiji hili wapo wangapi?
Kwa hiyo ndio attitude yangu,Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Lakini hii ni developing stori,tuendelee kuitazama.
 
Hii nchi imeingiliwa mno. Tuwe makini Batanzania.
 
Kweli wewe ni jinga kwelikweli,ni zaidi ya Zuzu. Kwa hiyo unataka RAIS asiwachangie watu kujenga makanisa na misikiti? Au wewe ni pepo ambaye unaogopa uwepo wa makanisa na misikiti?
Wewe kiroboto misikiti na makanisa hujengwa na waumini wao na sio serikali!’ Samia hizo fedha hazitoi kwa Hafidh zinatoka kwenye kodi zetu ; anatakiwa kuzitumia kuhamasisha wananchi kupunguza shida zao za maisha kama vile kusaidia kuchimba visima vijijini kusikokuwa na maji etc!
 
Back
Top Bottom