Kwamacho
Member
- Apr 11, 2020
- 80
- 126
Wewe pamoja na wachawi wenzio wote hamna la maana zaidi ya kuwanga mmejificha kupitia kanzu 😁zenu.Kiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda sababu ya CEO wake...
Hii Dini sasa inanitisha