Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewadhalilisha maustadhi na mashehe.Kiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda sababu ya CEO wake
Simba uwezo wake ni wa kawaida sana. Yaani sana. Kama unavyoiona Ruvu Shooting au Mbagala United. Isipokuwa tu CAF wanaibeba flani hivi.
Nlianza juzi nikapita kwa Maalim wangu Temeke. Akaangalia. Akasema Simba inapigwa leo ikijitahidi Draw ambayo haitaisaidia kitu.
Siku hiyo hiyo nikaenda kwa Ustaadhi wangu Shaban (huyu jamaa anaweza hata kukwambia siku yako ya kufa) akaaangalia.....akatikisa kichwa...kuwa siku,tarehe na muda wa leo si rafiki kwa Simba. Hasa kipindi hiki cha Ramadhani. Naye akasema wakijitahidi Draw.[emoji16]
Leo nimeenda kwa Sheikh wangu Juma ilala Bungoni. Majibu ni yale yale. Nikamwomba Mzee wangu Chande wa Tandale aniangalizie akanambia mi natakaje nikamwambia jamaa wapigwe. Kanambia nimtumie tsh 20,000 na majina ya wachezaji na bench la ufundi la Simba. Nimemtumia.
Majibu niliyopata kwa Mzee wangu,Ustaadhi Shaban ni kuwa amemaliza mchezo.
Sasa nimekaa kwa amani kabisa nasubiri jioni kufuturu .futru itakuwa na thawab kuwa ikiwa nitakuwa na amani moyoni. Sina shaka kabisa. Furaha yangu itakamilika Jumatatu nikipita wapa pole mikia maofisini.
Leo kwa Mkapa hatoki Simba. Arudi kwenye Ligi yetu nako tuendelee kumchapa.
Matokeo yakiwa Tofauti nipigwe Ban ya week moja. Na pia nitatembea bila viatu kwa siku moja.
Duuuh kwel dadaUsgn 2
Simba 0
Simba anapigwa 2 bila leo
HaaBila ya shaka ameshauona mlango alio tokea Simba huyo
😆😁😄😃😀😅😆😂😂🤣😅😆😁😄😃😀Mkuu huwezi kuwa timamu hadi kwanza utoe mwiko huko nyuma maamae
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Kwenda Hadi kwa mganga kutoa hadi hela eti Simba afungwe tu mnasababisha marusi wenyewe kumbeKiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda sababu ya CEO wake
Simba uwezo wake ni wa kawaida sana. Yaani sana. Kama unavyoiona Ruvu Shooting au Mbagala United. Isipokuwa tu CAF wanaibeba flani hivi.
Nlianza juzi nikapita kwa Maalim wangu Temeke. Akaangalia. Akasema Simba inapigwa leo ikijitahidi Draw ambayo haitaisaidia kitu.
Siku hiyo hiyo nikaenda kwa Ustaadhi wangu Shaban (huyu jamaa anaweza hata kukwambia siku yako ya kufa) akaaangalia.....akatikisa kichwa...kuwa siku,tarehe na muda wa leo si rafiki kwa Simba. Hasa kipindi hiki cha Ramadhani. Naye akasema wakijitahidi Draw.[emoji16]
Leo nimeenda kwa Sheikh wangu Juma ilala Bungoni. Majibu ni yale yale. Nikamwomba Mzee wangu Chande wa Tandale aniangalizie akanambia mi natakaje nikamwambia jamaa wapigwe. Kanambia nimtumie tsh 20,000 na majina ya wachezaji na bench la ufundi la Simba. Nimemtumia.
Majibu niliyopata kwa Mzee wangu,Ustaadhi Shaban ni kuwa amemaliza mchezo.
Sasa nimekaa kwa amani kabisa nasubiri jioni kufuturu .futru itakuwa na thawab kuwa ikiwa nitakuwa na amani moyoni. Sina shaka kabisa. Furaha yangu itakamilika Jumatatu nikipita wapa pole mikia maofisini.
Leo kwa Mkapa hatoki Simba. Arudi kwenye Ligi yetu nako tuendelee kumchapa.
Matokeo yakiwa Tofauti nipigwe Ban ya week moja. Na pia nitatembea bila viatu kwa siku moja.
shida ilianzia hapaNlianza juzi nikapita kwa Maalim wangu Temeke. Akaangalia. Akasema Simba inapigwa leo ikijitahidi Draw ambayo haitaisaidia kitu.