Sioni Simba anatokea wapi leo. Kila nilipoangalia sijaona

Umewadhalilisha maustadhi na mashehe.

Nashauri upigwe ban.

Pole kwa kuliwa hela 20,000.
Mganga katisha sana. Kesho mapema anamalizia kuku wake kwa supu.
 
Watu mnakufuru sana!unafunga afu unapiga ramli!!!Subhana llahhh
 
Kwenda Hadi kwa mganga kutoa hadi hela eti Simba afungwe tu mnasababisha marusi wenyewe kumbe
 
Mimba tunamtia mtu mwngne mate anatema utopwinyo
 
Nlianza juzi nikapita kwa Maalim wangu Temeke. Akaangalia. Akasema Simba inapigwa leo ikijitahidi Draw ambayo haitaisaidia kitu.
shida ilianzia hapa

huu ni mwezi mtukufu bwashee

achana na hzo mqmbo ndo mana hufanikiwiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…