Nini maana ya uhuru wa vyombo vya habari kama mnaanza kuwapangia nini cha kufanya kinyume na miiko na ueledi wa kazi zao? mliwafukuza wenyewe hivyo msilaumu mtu.Wangerusha mkutano mzima mwanzo mwisho waone kama wangefukuzwa!
Sasa Kama viongozi wakuu wakisiasa walianza saa kumi ulitaka waanze kurusha toka wakati mnaandaa majukwaaa?Wangerusha mkutano mzima mwanzo mwisho waone kama wangefukuzwa!
Kwahiyo hivyo mnavyo wapangia wasirushe mikutano ya wapinzani ndio uhuru wenyewe?Nini maana ya uhuru wa vyombo vya habari kama mnaanza kuwapangia nini cha kufanya kinyume na miiko na ueledi wa kazi zao? mliwafukuza wenyewe hivyo msilaumu mtu.
Hata mpira wamiguu huwa tunarusha muda wa mechi ukifika sio wanapoingia mashabiki tu eti unarusha!Kwanini warushe kile wanachotaka wao na si kile kilichopo na kwanini wawapangie walaji?
Ninarusha matangazo yako tena bure, halafu unanitukana. Nioneshe matusi unayonitukana kwa wananchi wangu?wangerusha mkutano mzima mwanzo mwisho waone kama wangefukuzwa...!!!
Achana na hao kenge wa lumumba na TBC yao..lini mkutano wa ccm uko live na magufuri anahutubia alaf wanakatisha matangazo kisha wanaongelea mambo mengine?? Hata wasiporusha mikutano yetu wala haina noumaNasema hiviii.... Wekeni ulingo sawa mjue madhaifu ya mtu wenu au mwaogopa K. O
Ninarusha matangazo yako tena bure, halafu unanitukana. Nioneshe matusi unayonitukana kwa wananchi wangu?
Wewe ni mpuuzi. Mbona Jiwe huwa anaonyeshwa mwanzo mwisho hata pale anapotoa lugha zisizo na staha?Nini maana ya uhuru wa vyombo vya habari kama mnaanza kuwapangia nini cha kufanya kinyume na miiko na ueledi wa kazi zao? mliwafukuza wenyewe hivyo msilaumu mtu.