Gmox
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 319
- 478
Salaaam wanajamvi,
#Swali fikirishi:
Kuna haja gani mikutano ya kampeni ya CCM kuoneshwa live kupitia vyombo vya habari ili hali washindani wake hawaoneshwi? Je, tutasemaje tunaomba kura ikiwa mshindani wetu hatumpi nafasi ya kuonesha udhaifu wake ili sisi tuonekane tu imara zaidi yao?
Hakika hii si haki na wala haina maana yoyote kama wapiga kura watashinikizwa kuusikiliza upande mmoja kisha kisha waseme tunafanya uchaguzi. Uchaguzi gani wa kuwasikiliza washiriki wa upande mmoja kisha uwe na majibu ya upande wa pili pia?