Uchaguzi 2020 Sioni umuhimu wa kampeni mwaka huu

Uchaguzi 2020 Sioni umuhimu wa kampeni mwaka huu

Gmox

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
319
Reaction score
478
Salaaam wanajamvi,

#Swali fikirishi:

Kuna haja gani mikutano ya kampeni ya CCM kuoneshwa live kupitia vyombo vya habari ili hali washindani wake hawaoneshwi? Je, tutasemaje tunaomba kura ikiwa mshindani wetu hatumpi nafasi ya kuonesha udhaifu wake ili sisi tuonekane tu imara zaidi yao?

Hakika hii si haki na wala haina maana yoyote kama wapiga kura watashinikizwa kuusikiliza upande mmoja kisha kisha waseme tunafanya uchaguzi. Uchaguzi gani wa kuwasikiliza washiriki wa upande mmoja kisha uwe na majibu ya upande wa pili pia?
 
Wangerusha mkutano mzima mwanzo mwisho waone kama wangefukuzwa.
 
Wangerusha mkutano mzima mwanzo mwisho waone kama wangefukuzwa!
Nini maana ya uhuru wa vyombo vya habari kama mnaanza kuwapangia nini cha kufanya kinyume na miiko na ueledi wa kazi zao? mliwafukuza wenyewe hivyo msilaumu mtu.
 
Hata isiwezekana kuonyesha kotekote lazima CCM ingependelewa Ila kwa maoni ya watu inaleta picha mbaya ya upendeleo.
 
Nini maana ya uhuru wa vyombo vya habari kama mnaanza kuwapangia nini cha kufanya kinyume na miiko na ueledi wa kazi zao? mliwafukuza wenyewe hivyo msilaumu mtu.
Kwahiyo hivyo mnavyo wapangia wasirushe mikutano ya wapinzani ndio uhuru wenyewe?
 
Sasa Kama viongozi wakuu wakisiasa walianza saa kumi ulitaka waanze kurusha toka wakati mnaandaa majukwaaa?
Kwanini warushe kile wanachotaka wao na si kile kilichopo na kwanini wawapangie walaji?
 
Kwanini warushe kile wanachotaka wao na si kile kilichopo na kwanini wawapangie walaji?
Hata mpira wamiguu huwa tunarusha muda wa mechi ukifika sio wanapoingia mashabiki tu eti unarusha!
 
😂😂 Naona umeona unioneshe asili yako mapema.... Maana nyinyi kwakukimbia hoja mpo sana 😂😂😂 ona sasa umeanza kuchambua vitu visivyo....tafadhari rudi kwenye mada... 😡
 
Hata isiwezekana kuonyesha kotekote lazima CCM ingependelewa Ila kwa maoni ya watu inaleta picha mbaya ya upendeleo

Bora nawewe umeliona.. 😊
 
wangerusha mkutano mzima mwanzo mwisho waone kama wangefukuzwa...!!!
Ninarusha matangazo yako tena bure, halafu unanitukana. Nioneshe matusi unayonitukana kwa wananchi wangu?
 
Ninarusha matangazo yako tena bure, halafu unanitukana. Nioneshe matusi unayonitukana kwa wananchi wangu? Jinga wewe.
Ni kweli Ukweli unauma...lakini hawakusenwa wao bali yalisemwa makosa yao.
 
Nasema hiviii.... Wekeni ulingo sawa mjue madhaifu ya mtu wenu au mwaogopa K. O
 
Nasema hiviii.... Wekeni ulingo sawa mjue madhaifu ya mtu wenu au mwaogopa K. O
Achana na hao kenge wa lumumba na TBC yao..lini mkutano wa ccm uko live na magufuri anahutubia alaf wanakatisha matangazo kisha wanaongelea mambo mengine?? Hata wasiporusha mikutano yetu wala haina nouma
 
Ninarusha matangazo yako tena bure, halafu unanitukana. Nioneshe matusi unayonitukana kwa wananchi wangu?

Hebu weka matusi hata mawili yanayotukanwa, ili tujiridhishe kama ni matusi ama ni ukweli unaouma.
 
Nini maana ya uhuru wa vyombo vya habari kama mnaanza kuwapangia nini cha kufanya kinyume na miiko na ueledi wa kazi zao? mliwafukuza wenyewe hivyo msilaumu mtu.
Wewe ni mpuuzi. Mbona Jiwe huwa anaonyeshwa mwanzo mwisho hata pale anapotoa lugha zisizo na staha?
 
Back
Top Bottom