uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
- Thread starter
- #21
Makubaliano na NMB hayaoneshi kuwa na sport center ni uwanja TUHivi huo uwanja utajengwa kweli au ni mbange tu?
Hata hibyo kama wapo serious kweli, wakijenga uwanja watafaidika zaidi kuliko kuendelea kukodi viwanja kama ilivyo kwa sasa...
Wakiwa na uwanja mzuri, ndani yake unaweza ukawa na sports centre, na kwa lile jengo lao la Jangwani wanaweza wakalitumia kama hostels za wachezaji...
Anyway maoni yangu uwanja waendelee Kutumia Benjamin as mechi kubwa zote watacheza hapo maana huwezi Jenga uwanja wa capacity ya 20000 ukatosha derby game na Azam siku ya mwananchi n.k so bado wataendelea kukodi uwanja