Sioni utofauti wa mashahidi kesi ya uhaini ya Lissu na Drama za wakatoliki feki

Sioni utofauti wa mashahidi kesi ya uhaini ya Lissu na Drama za wakatoliki feki

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Hebu kama nchi kama taifa linalotumia dharama kubwa kumtumia waziri wa mambo ya nje kupuyanga mataifa MBALI MBALI kurejesha heshima ya nchi.

"Eti Mimi ni dereva bodabida nilipoiona clip ya Lissu kuwa tukakinukishe nikahamasika nikaenda kijiwen kwangu kuhamasisha jamaa zangu kwamba tukinukishe ili maisha yetu yawe mazuri"

Huu ndiyo ushahidi uloletwa mahakamani ili mtuhumiwa anyongwe?

Hebu tuweni sirias bwana
 
Tunapoteza fedha na muda kwa mashitaka ya kulidhalilisha taifa
 
Back
Top Bottom