GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa.
Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie Wachambuzi wa Michezo katika Redio za Tanzania huwa mnavuta au mnavutishwa Kwanza Bange au?
Wewe Mchambuzi Wilson Oruma ambaye huko Azam Media wamekutema na kila uendako kutokana na Unafiki wako huwa hudumu na sasa unapiga tu 'Deiwaka' mara Clouds FM na sasa EFM siyo Wewe ambaye mwaka jana ulisema kuwa Tanzania nzima hakuna Kiungo bora na Mchezeshaji kama Feisal Salum Fei Toto? Leo tena imekuwaje ghafla umebadili ulichokisema? au unadhani akina GENTAMYCINE ni wasahaulifu n hatutunzi Kumbukumbu zenu mkiwa mnaongea?
Halafu Wewe Wilson Oruma ni kwanini kila ukipewa nafasi ya Kuchambua ni lazima tu utainanga na utaonyesha Chuki zako za wazi wazi kwa Simba SC? Hivi huwa hujishtukii au kuhisi pia kuwa wenye Akili na wenye uwezo wa Kuuchambua Mpira kuliko Wewe tayari tumeshakudharau Kitambo tu?
Wilson Oruma (Mchambuzi Mnafiki na wa hovyo hovyo) Tanzania hivi umeshajiuliza ni kwanini wana Simba SC wengi ( nami GENTAMYCINE nikiwemo) tunampenda sana Mchambuzi Msomi, Mweledi, mwana Yanga SC 'lia lia', halafu anaujua Mpira wenyewe na Kaucheza kwa Kiwango cha Kimataifa Ally Mayai Tembele? Tafadhali mtafute ili ujifunze vingi Kwake kwani hana Uyanga bali husimamia Uhalisia, Uwazi na Ukweli kila achambuapo Studioni na Redioni.
Wakati ukihangaika Kumsifia na Kumpamba Kiungo Salum Aboubakary 'Sure Boy' kuwa ndiyo Kiungo bora nami GENTAMYCINE nakuambia kuwa huyu Mchezaji wako hajafikia hata tu 15% ya uwezo na Kipaji alichokuwa nacho Haruna Niyonzima, Thabani Kamusoko na Marehemu Godfrey Bonny.
Halafu ulivyo Mnafiki Mchambuzi wa hovyo hovyo na mwenye Uyanga uliopitiliza umesema kuwa Kiungo Salum Aboubakary'Sure Boy' anaweza Kucheza Timu yoyote ile nchini (tena anaanza) una uhakika? Wewe Jamaa nilikuwa nakuheshimu ila kwa Upuuzi huu ulionao sasa natangaza rasmi Kukupuuza na Kukudharau.
Yanga SC kama kuna nafasi ya Ajira hapo Klabuni Kwenu hata tu ya Kuwafulia Boksa zao akina Bangala, Aucho na Ntibazonkiza hebu mpeni (muajirini) huyu Mchambuzi Wilson Oruma kwani 'anajipendekeza' Kwenu mpaka anaboa na Kutupandisha Hasira tu tukiwa tunamsikiliza.