Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

Wakiongozwa na Rais wa Watangazaji Wanafiki na wanaoichukia Simba SC katika Redio zote hapa Tanzania Mtangazaji Maulid Baraka Kitenge.
.
FB_IMG_1629179437509.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hata angekuwa kiungo box to box, Kanoute ni kawaida sanaa kwa wazawa wengi tu hapa bongo
Angekuwa ni wa Kawaida hivyo Siku ile katika Kariakoo Derby akina Aucho na Bangala wenu wangekuwa wanapoteana tu pale kwa Mkapa Temeke?

Je, ulimsikia Kocha wako 'Fundi' Nasredinne Nabi katika ile 'post match interview' yake na Azam Tv aliposema kuwa waliomnyima Ushindi Siku ile walikuwa ni Kipa Aishi Manula, Beki Joash Onyango na Kiungo Saido Kanoute huyu unayemdharau hapa?

Kocha Nabi na Wewe nani kasomea Soka?
 
"Tanzania nzima hakuna Kiungo bora na Mchezeshaji kama Feisal Salum Fei Toto? Leo tena imekuwaje"

Huo ndio ukweli basi tuseme tolu kanoute au vipi dogo pablo
 
Paw, Moderator na JamiiForums hii Lugha ya Kuitana Shoga au Mashoga imeruhusiwa hapa? Na hii ni mara ya Pili ananiita Shoga.

Nimeshaliripoti hili Kwenu kwa Maamuzi yenu ya Kisheria ambayo mtayaona yanafaa Kwake na yanayoliongoza pia Jamvi hili.
Mwanaume kulia kulia kuitaji msaada umethibithisha madai yangu kuwa wewe ni wali waliwa
 
Angekuwa ni wa Kawaida hivyo Siku ile katika Kariakoo Derby akina Aucho na Bangala wenu wangekuwa wanapoteana tu pale kwa Mkapa Temeke?

Je, ulimsikia Kocha wako 'Fundi' Nasredinne Nabi katika ile 'post match interview' yake na Azam Tv aliposema kuwa waliomnyima Ushindi Siku ile walikuwa ni Kipa Aishi Manula, Beki Joash Onyango na Kiungo Saido Kanoute huyu unayemdharau hapa?

Kocha Nabi na Wewe nani kasomea Soka?
Siku hiyo hamna cha aucho, bangala wala feitoto wote walikuwa wanaombea mpira uishe mapema
 
Angekuwa ni wa Kawaida hivyo Siku ile katika Kariakoo Derby akina Aucho na Bangala wenu wangekuwa wanapoteana tu pale kwa Mkapa Temeke?

Je, ulimsikia Kocha wako 'Fundi' Nasredinne Nabi katika ile 'post match interview' yake na Azam Tv aliposema kuwa waliomnyima Ushindi Siku ile walikuwa ni Kipa Aishi Manula, Beki Joash Onyango na Kiungo Saido Kanoute huyu unayemdharau hapa?

Kocha Nabi na Wewe nani kasomea Soka?
Wewe umesomea soka wapi mpaka ulete uhayawani kujifanya unajua kumbe una kigugumizi maskini 😀😀
 
Baada ya Kujificha hatimaye sasa Umeshaingia 'Mtegoni' na Kujiweka ( Kujipambanua ) wazi kuwa Wewe ni Shabiki wa Yanga SC na siyo mwana Simba SC Mwenzetu.

Nilikushtukia tokea katika ule Uzi wangu wa Kuuomba Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC isiachane ( isimteme ) Mshambuliaji na Winga mahiri Ousmane Papi Sakho.
Sio kila mtanzania anashabikia Simba au yanga ongoa izo primitive mentality kichwani mwako
 
Angekuwa ni wa Kawaida hivyo Siku ile katika Kariakoo Derby akina Aucho na Bangala wenu wangekuwa wanapoteana tu pale kwa Mkapa Temeke?

Je, ulimsikia Kocha wako 'Fundi' Nasredinne Nabi katika ile 'post match interview' yake na Azam Tv aliposema kuwa waliomnyima Ushindi Siku ile walikuwa ni Kipa Aishi Manula, Beki Joash Onyango na Kiungo Saido Kanoute huyu unayemdharau hapa?

Kocha Nabi na Wewe nani kasomea Soka?

1. Eti walipoteana, uliangalizia wapi mpira mkuu?

2. Kumsifu mpinzani wako baada ya match ni kitendo cha kiungwana katika michezo na kipo muda mrefu sana sasa nakushangaa wewe kuona Nabi akimsifia mchezaji binafsi / mpinzani ni jambo la ajabu, na si kwenye mpira tu mkuu, baada ya pambano la marudiano kati ya Tyson Fury na Wilder ulisikia maneno aliyosema Fury? Unawasikiliza kweli kina Klopp, Guardiola n.k before and after match conference? Au hivi vitu vigeni sana kwako?

3. Wewe unaweza kuona kasomea kwa vile kaajiriwa hapo Yanga unajuaje mm sijasomea? Na uelewa juu ya mpira na michezo mpaka uwe umesomea?
 
Back
Top Bottom