Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Sema wewe mwananchi mwenzetu predictions zako kuhusu makolo huwa matokeo yanakuja kinyume chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mtupu.Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..
Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team.
Simba hawatakuwa na upinzani mkubwa sana kwenye kugombea nafasi ya pili msimu huu wa ligi kuu ya NBC..
Naona unbeaten season nyingine tena kwa Wananchi kwani gape la ubora kati yake na hawa wengine ni kubwa sana.
YANGA BINGWA
Soma Pia: FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024