Sipati chaneli ya Russia Today kwenye Azam TV

Kwahiyo ni uvamizi, sivyo?
 
Hata kama wanapika habari lakini RT, wamezidi, aljazeera tu ndio huwa wanonyesha ukweli, ndio maana sio kwa warabu, au wazungu kote wana mpinga!!!
Naikubali sana aljazeera, yani nikitaka tazama channel ya habari ya kimataifa ni aljazeera.
Napenda programs zao
 
Naikubali sana aljazeera, yani nikitaka tazama channel ya habari ya kimataifa ni aljazeera.
Napenda programs zao
Nayo sasa imekua ya hovyo, watangazaji wake Ukraine wamejaa unafiki sana. Mfano kuna mtangazaji mmoja anasema ilichukua miezi mitatu kuprocess application za wakimbizi million 1 kutoka syria kuingia ulaya ila imechukua siku kama 4 kuprocess idadi hiyo ya wakimbizi kutoka ukraine. Alivyo mnafiq anasema hiyo ni IMPROVEMENT wakati dhahiri ni ubaguzi kwa watu wasio wazungu.
 
The later seems to be correct.
 
Hata CGTN imefungiwa ila zote ukihitaji kutazama zipo YouTube, wanawapiga sindano Marekani kama kawa.
 

 
Please acha kuonyesha upumbavu wako, nisome tena ili unielewe vema
 
Ulianza kuangalia baada ya Mzozo au ushabiki?
 
Maandamano yaanzie hapo hapo Ufipa!
 
Ulianza kuangalia baada ya Mzozo au ushabiki?
baada ya mzozo, ili kuballance ninachokiona kwenye tv za west plus aljazeera na wanachoonesha wenye vita yao. Na niligundua pamoja na madhaifu yao (RT) bado wamagharibi (cnn, france 24, fox plus kibraka aljazeera) wana unafiki mwingi sana.
 
Hiyo inatofauti gani na tbc ?
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…