Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Kwa hiyo magufuli yeyr alikuwa hataki nchi yake kusonga mbele kimichezo kabisa? Ulaya wakikuona we ni potential unapewa uraia fasta
 
Pumbav mkubwa ww unafikiri uraia unatolewa km pipi bila mchakato ?unafikiri hii ni Banana Republic ?
Inategemeana na potentiality ya mtu. Unawezq kupewa uraia hata nfani ya lisaa limoja tu. Marekani ukienda unakipaji tu hurudi unapeq uraia instantly ndo mana marekani iko juu kiuchumi
 
Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Magufuli maamuzi yake mengi yalukuwa ya kukurupuka kama kichaa na i'm sure usiku alikuwa anajua kwamaba amebugi hasa akitulia. Yule hakufaa kuwa hata barozi wa nyumba kumi
 
Kuna watu potential wamefanya makubwa nchi hii lakini hawakupewa uraia kama peremende tu.

Prof Joshua Mkhululi ni mmoja wapo!
 
Back
Top Bottom