Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

Inategemeana na potentiality ya mtu. Unawezq kupewa uraia hata nfani ya lisaa limoja tu. Marekani ukienda unakipaji tu hurudi unapeq uraia instantly ndo mana marekani iko juu kiuchumi
chai!!!!!!! Hakuna hata mmoja ambae amewasili USA within one hour akapewa uraia papo hapo. Infact katika nchi ambayo inachukuwa muda mrefu kumpa mtu uraia ni USA. Wanafanya background check ya kikwelikweli. Kumbuka kuna tafauti kubwa baina ya green card na citizenship (uraia).
 
Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Acha walambe asali ya mama wa kizanzibari.
 
chai!!!!!!! Hakuna hata mmoja ambae amewasili USA within one hour akapewa uraia papo hapo. Infact katika nchi ambayo inachukuwa muda mrefu kumpa mtu uraia ni USA. Wanafanya background check ya kikwelikweli. Kumbuka kuna tafauti kubwa baina ya green card na citizenship (uraia).
Potentiality ya mtu. Nenda
 
Inategemeana na potentiality ya mtu. Unawezq kupewa uraia hata nfani ya lisaa limoja tu. Marekani ukienda unakipaji tu hurudi unapeq uraia instantly ndo mana marekani iko juu kiuchumi
Sio kweli, O-1 Visa inachukua miezi kuanzia 6 na bado iko kwenye kundi la non immigrant visa, ukitaka kuibadili itachukua miaka mingine 3 nakuendelea isipokuwa kama uta opt kujiunga na jeshi.

Wana VISA ya wawekezaji ambayo ni immigrant na hiyo ndiyo unaweza kuipata ndani ya mwaka 1 ikiwa utafanya uwekezaji wenye thamani ya dola milioni 1 na kuajiri wazawa au green card holders 10 nakuendelea.

Acha kupotosha watu.
 
Njoo mjini huku palipo na wasomi wanojua kua analyse mambo uone wanavyomponda. Saaa mbumbumbu anaelewa nini zaidi ya kula kulala na kufurahia aliuetumbuliwa ili wafanane
Unasema mjini kuna wasomi wale walikufa uwanja wa taifa wakiomboleza na wale walivunja uzio wa Airport wakigombea kuifuata ndege iliyobeba mwili wake walitokea kijijini Kazuramimba, Chato ama Kamsamba ?
 
Sio kweli, O-1 Visa inachukua miezi kuanzia 6 na bado iko kwenye kundi la non immigrant visa, ukitaka kuibadili itachukua miaka mingine 3 nakuendelea isipokuwa kama uta opt kujiunga na jeshi.

Wana VISA ya wawekezaji ambayo ni immigrant na hiyo ndiyo unaweza kuipata ndani ya mwaka 1 ikiwa utafanya uwekezaji wenye thamani ya dola milioni 1 na kuajiri wazawa au green card holders 10 nakuendelea.

Acha kupotosha watu.
Kumbuka katiba yetu siyo sawa na marekani. Huku kwetu rais ni Mungu mtu anaweza kuagiza hata wewe uchinjwe usiku huu wala hakuna mtu wa kumuuliza bali utekelezaji tu. Rais anaweza kukufukuza usiku huu na usikanyage tena nchini japo umezaliwa hapa. Ndo mana tunawaambia tuingie barabarani kudai katiba mpya hamtaki kisa elimu zenu ni finyu sana kujua mambo kwa mapana
 
Unasema mjini kuna wasomi wale walikufa uwanja wa taifa wakiomboleza na wale walivunja uzio wa Airport wakigombea kuifuata ndege iliyobeba mwili wake walitokea kijijini Kazuramimba, Chato ama Kamsamba ?
Wote wanatoka huko vijinini kwenu na hawajui chochote maskini zaidi ya kula kulala na kusajili line mtaani
 
OMG
Vinecious juniour wa real madrid
OMG Kwanza anaitwa Vinicius na sio Vinnecious na imemchukua miaka miwili kukamilisha tests zinazohitajika kabla ya kupewa uraia wa spain. Aliingia spain 2018 na ilimchukua hadi 2020 kukamilisha masharti ya mitihani ya kuwa raia wa spain, na ilichukua miaka mingine miwili kabla ya kuweza kula kiapo na kuwa raia kamili wa spain. Bado nangoja jina la mtu aliepewa uraia wa nchi baada ya wiki mbili!!!!!
 
Botswana tu hapo kuna madaktari wetu bingwa kibao wamepewa uraia.

Sheria zipo ila exceptions pia zipo.
Baadhi ya watanzania uwa tunajiona kama special flan hivi,ndio maana hata huko juu hasa ccm hawataki kabisa kusikia suala la dual citizen
 
OMG

OMG Kwanza anaitwa Vinicius na sio Vinnecious na imemchukua miaka miwili kukamilisha tests zinazohitajika kabla ya kupewa uraia wa spain. Aliingia spain 2018 na ilimchukua hadi 2020 kukamilisha masharti ya mitihani ya kuwa raia wa spain, na ilichukua miaka mingine miwili kabla ya kuweza kula kiapo na kuwa raia kamili wa spain. Bado nangoja jina la mtu aliepewa uraia wa nchi baada ya wiki mbili!!!!!
No
 
Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Kwani Kibu wakati anagombewa na Yanga na Simba Raisi alikuwa nani.
 
Mnapenda tu kum hype huyo marehemu....mambo mangapi ya hatari yalitokea kwenye nchi akawa zake kimya....watu wangapi walipotea akala zake cofta
 
Wote wanatoka huko vijinini kwenu na hawajui chochote maskini zaidi ya kula kulala na kusajili line mtaani
Asante msomi unayeshinda nyuma ya keyboard ukimpambania Mama yako.. unayetegemea fadhila za watawala kwenda chooni.. peleka hesabu uchawa ulizofanya leo uipwe uende banda la chipsi ukale ..maana Mama yenu alisema kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake nawe kula malipo ya uchawa wako..
 
Lazima kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Kama we ni mwalimu kula mshahara wako, kama we ni daktari kula mshahara wako na siyo wa mingine
 
Elon Musk mwenyewe kaingia USA 1995 ila uraia kaupata 2002!

  • In 1995, he moved to California to attend Stanford University, but instead co-founded Zip2, an online city guide software company, with his brother Kimbal.

  • In 1999, Compaq acquired Zip2 for $307 million.

  • In 2000, X.com, a direct bank co-founded by Musk, merged with Confinity to form PayPal.

  • In 2002, Musk became a US citizen and founded SpaceX, a spaceflight services company.
 
Mtakalia hayo hayo ya vyeti feki wakati hata yeye alikuwa na phd feki na akamlamba risasi ben saa nane aliyeuliza ufeki wa phd yake. Kama alikuwa serious mbona hakuingia jeshini kuna mazero barains kibao na wengi hawana vyeti. Haya Makonda je? Makonda alifoji mpaka jina mana anaitwa bashite
Pole sana mkuu sema ndo hivyo maisha sio ajira tu najua utakuwa ushapata issue ya kufanya sema issue za forgery ni jinai angekuwa katiri zaidi mngefungwa
 
Lazima kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Kama we ni mwalimu kula mshahara wako, kama we ni daktari kula mshahara wako na siyo wa mingine
Kama wewe unavyokula mshahara wa uchawa ! lakini tambua uchawa ni kuhamisha ufikiri kichwani na kuhamisha tumboni..
 
Kwa hiyo magufuli yeyr alikuwa hataki nchi yake kusonga mbele kimichezo kabisa? Ulaya wakikuona we ni potential unapewa uraia fasta
Kwahiyo, sisi akili zetu ni makopo tunaiga Ulaya??

Wakati unaiga unatakiwa kujua huna unacho miliki, hata ardhi siyo yako.

Jiangalieni msije kugeuka kuwa vibarua kwenye mashamba ya mkonge ya wageni.

Matatizo ya wageni hasa ardhi na uhuni yanasumbua mpaka leo Namibia, South Africa, Zimbabwe, Kenya,

Msione kina Nyerere walikuwa wajinga, kwa kuwa mna matumbo makubwa mnaona shortcut ndio maisha
 
Back
Top Bottom