magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Huyu Kibu Denis siku za mwanzo anavaa uzi wa Taifa Stars si baadhi yenu mlikuwa mnamuita Mcongoman?Hao wachezaji wana Potential gani? Uyo Kayeke pale Dimba la kati hawezi kuanza mbele ya Kagoma, Mtesigwa, Bajana, Mzamiru na wengine wengi.
Suala la uraia kwa hao wachezaji limefanywa kwa interest za mtu mmoja na sio faida za nchi. They have nothing to add kwenye national team yetu. Bora hata wangeshawishi watu kama Pakome au Chama..
Kwenye dili hilo, kuna mtu anakwepa kodi kiaina.
Kwanini mnapenda kuwakatia watu tamaa mapema? Kwanini mnapenda kuangalia hatua moja mbele na sio mia moja?