Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

Kwa upumbavu wako unaamini hilo lkn anabaki mioyoni mwa watanzania unafikiri wale watu 45 waliopoteza maisha wakimuomboleza 2021 walikuwa wanamlilia baba yako ?
Walikuwa vichaa kama wewe. Maguli aliweza kiwa fool wajinga wajinga na akaenda mbali akazuia vyombo vya habari visiandike chochote asichotaka yeye ili msione ufisadi wake
 
Sema ww ndiyo ulimpenda, umesahau kuwa ndiye binadamu watu walisherekea alipokufa? Ht kifo cha jambazi hakijawahi kusherehekewa
Sasa Wezi na mafisadi na wenye vyeti feki na matepeli kwanini msisherekee?
 
Vipi mzee ni mhanga wa vyeti feki?
Mtakalia hayo hayo ya vyeti feki wakati hata yeye alikuwa na phd feki na akamlamba risasi ben saa nane aliyeuliza ufeki wa phd yake. Kama alikuwa serious mbona hakuingia jeshini kuna mazero barains kibao na wengi hawana vyeti. Haya Makonda je? Makonda alifoji mpaka jina mana anaitwa bashite
 
Walikuwa vichaa kama wewe. Maguli aliweza kiwa fool wajinga wajinga na akaenda mbali akazuia vyombo vya habari visiandike chochote asichotaka yeye ili msione ufisadi wake
Mjinga ni wewe unayetaka kupambana na jina linalokuzidi uwezo unafikiri nyayo za tembo zinafutwa kwa ufagio ?
 
Mjinga ni wewe unayetaka kupambana na jina linalokuzidi uwezo unafikiri nyayo za tembo zinafutwa kwa ufagio ?
Jpm hiyu huyu wnasidi uwezo mimi!! Jpm alifanya kila mtu aone anaweza kuwa rais
 
Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Nchi Kama Kenya watu wanapigania Taifa individualy Bongo anategemewa mtu, na hii ndio tatizo
 
Jpm alikuwa anapendqa na ma mbumbumbu. Hakuna mwenye akiri yake akapenda yule kichaa na limbukeni waadaraka
90% ya Watanzania ni mbumbumbu...maana ndio waliomsapoti 10% mliobaki vyeti feki na zao la majizi msingependa uongozi wake.
 
Kwa hiyo magufuli yeyr alikuwa hataki nchi yake kusonga mbele kimichezo kabisa? Ulaya wakikuona we ni potential unapewa uraia fasta
Tutajie nchi moja na mchezaji mmoja tu ambae amepewa uraia wa nchi baada ya wiki mbili tu. Na kwa nini kila kinachofanyika ulaya ndio na sisi tuige? Tutawacha lini mentality ile ya mavi ya mzungu hayanuki!!!!!?
 
90% ya Watanzania ni mbumbumbu...maana ndio waliomsapoti 10% mliobaki vyeti feki na zao la majizi msingependa uongozi wake.
Njoo mjini huku palipo na wasomi wanojua kua analyse mambo uone wanavyomponda. Saaa mbumbumbu anaelewa nini zaidi ya kula kulala na kufurahia aliuetumbuliwa ili wafanane
 
Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Ngoja waje wamiliki mapande ya ardhi Tz nchi ya hovyo sana ila ile ni bortion bwana sio kweli
 
Back
Top Bottom