johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio huyo huyo JJ!Mnyika gani? Huyu huyu wa kibamba.....!
Kuna hali tete ipi zaidi ya tuliyo nayo sasa hivi? Sukari kilo moja leo hii ni sawa na bei ya petrol Lita mbiliEid Mubarak wadau!
Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete.
Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso.
Mawaziri wengine wote wangekuwa full uzushi.
Maendeleo hayana vyama!
Uko mkoa gani bwashee....... Dsm na Dodoma sukari kibao kilo sh 2600/=Kuna hali tete ipi zaidi ya tuliyo nayo sasa hivi? Sukari kilo moja leo hii ni sawa na bei ya petrol Lita mbili
In God we Trust
Uko mkoa gani bwashee....... Dsm na Dodoma sukari kibao kilo sh 2600/=
Manzese na Tandale karibu sana....ukikosa lete mrejesho!Acha Uongo Dsm maeneo mengi ni 3,500/= mpaka 4,000/= kwa Kg 1
Uko mkoa gani bwashee....... Dsm na Dodoma sukari kibao kilo sh 2600/=
Sidhan km unajua hizo t1.5 zilipatikana vp mpaka sasa analalamika kupotea kwake.Magufuli alikosa mawazari miongoni wa wabunge wa ccm akaamua kuwateua watu ambao hata sio wanasiasa akina Mpango, Ndalichako, Kabudi, nk. Baada ya kuona kwamba bado ccm viazi ndo vingi na haviwezi kusaidia nchi, akaamua kununua kutoka upingani akina mollel, waitara, mtatiro, katambi, nk. CCM ni chama kilichoshindwa kuongoza nchi.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Kuna mtu hapa JF hajui fedha za nchi zinapatikanaje? Au unadhani Magufuli aliuza Ng'ombe wake wa urithi?Sidhan km unajua hizo t1.5 zilipatikana vp mpaka sasa analalamika kupotea kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ya Umma upatikanaji wake unajulikana, Ni pesa za wavuja jasho wa nchi hii ila CCM wakazila pamoja na mabwana zao. Kwa kweli watanzania hatutasahau CCM walichotufanyiaSidhan km unajua hizo t1.5 zilipatikana vp mpaka sasa analalamika kupotea kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinadhalia hizo pesa Ni za wavuja jasho kiuhalisia hizo pesa si za wavuja jasho.Pesa ya Umma upatikanaji wake unajulikana, Ni pesa za wavuja jasho wa nchi hii ila CCM wakazila pamoja na mabwana zao.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Ni za nani!! Za Polepole?Kinadhalia hizo pesa Ni za wavuja jasho kiuhalisia hizo pesa si za wavuja jasho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan km sote humu jf tunajua vyanzo vyote vya mapato.Kuna mtu hapa JF hajui fedha za nchi zinapatikanaje? Au unadhani Magufuli aliuza Ng'ombe wake wa urithi?
Sent using Jamii Forums mobile app