Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Huyo jamaa unamuonea tu.Ni za nani!! Za Polepole?
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa unamuonea tu.Ni za nani!! Za Polepole?
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Hata Mimi sidhani kama una uhakika uliyemuongelea hajui vyanzo vya mapato ya serikali.
Labda.Hata Mimi sidhani kama una uhakika uliyemuongelea hajui vyanzo vya mapato ya serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni za nani Sasa?
Huyo Ni muajiriwa wa taasisi inayoiendesha serikali.Ni za nani Sasa?
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Ebu imagine eti waziri wa uchumi ni mdee, lema eti waziri wa mambo ya ndani! Ingekua hivi ningeomba dunia isimame nishuke nitembee kwa mkuu kuelekea huko inakoenda...Eid Mubarak wadau!
Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete.
Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso.
Mawaziri wengine wote wangekuwa full uzushi.
Maendeleo hayana vyama!
1.5 trillion zilikuwa za nani?
Eleza kina Mchembe,Waitara,Jafo a.k.a nyungu,Mwakiembe a.k.a digrii 4,Kitwanga,Mpango,Kabudi na genge lote wamefanya nini?Eid Mubarak wadau!
Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete.
Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso.
Mawaziri wengine wote wangekuwa full uzushi.
Maendeleo hayana vyama!
Yohana unataka kusema Paskali angepewa kuwa msemaji wa ikulu?Eid Mubarak wadau!
Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete.
Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso.
Mawaziri wengine wote wangekuwa full uzushi.
Maendeleo hayana vyama!
MATAGA Bwana, sasa kuna tofauti gani na Meko?Eid Mubarak wadau!
Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete.
Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso.
Mawaziri wengine wote wangekuwa full uzushi.
Maendeleo hayana vyama!
Nani aliyekwambia kwamba Lowassa hakushinda?Eid Mubarak wadau!
Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete.
Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso.
Mawaziri wengine wote wangekuwa full uzushi.
Maendeleo hayana vyama!
Si bora Pasikali Great Thinker kuliko Gerson Msigwa naona kama bado UTOTO UTOTO Mwingi.Yohana unataka kusema Paskali angepewa kuwa msemaji wa ikulu?
Chadema haijakosea , tatizo ni katiba yetu n watz wenyewe
Hiyo ndio ilikuwa nafasi yake sema tu maji yalivurugika!Yohana unataka kusema Paskali angepewa kuwa msemaji wa ikulu?
Sina mbavu hapa nilipo.Hiyo ndio ilikuwa nafasi yake sema tu maji yalivurugika!
Paskali anafaa kuwa mkuu wa mkoa maana ni mpenda haki. Sio nafasi kama hiyo.Si bora Pasikali Great Thinker kuliko Gerson Msigwa naona kama bado UTOTO UTOTO Mwingi.