Hupati Picha wapi wewe Mngoni,huko CCM hali yenyewe tete tangu Mwenyekiti wako kaingia magogoni kapiga chini Mawaziri wangapi toka CCM?
Mpaka mkaanza kuchukua Waunga juhudi mkono na kuwapa uwaziri,chama kinachojivunia hazina ya wanachama kimekosa wenye sifa kati ya wanachama Milioni 5 huoni mnapwaya sana hapo Lumumba.