Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
nikisikiaga kasoma ACADEMIC INTERNATIONAL huwa nafikiri ni ile ya mikocheni B CocaCola road kule ile wanayotumia cambridge sylabus (IGCSE)Ile shule nzuri sana....sista angu kasoma hapo!
Unajua hiyo shule ni ya yule mzee Saul mwenye s.h amon na landmark hotel
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe kasoma ya hapo Sinza... alafu nilikuwaga sijui kama kuna academic nyingine zaidi ya ile ya mikochen leo ndio nimejua yan
Sent using Jamii Forums mobile app